MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.
Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na
viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga.
...
Mkurugenzi wa Clouds FM bwana Ruge Mutahaba. |
Jaydee aliwasili mahakamani hapo
akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza
moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi
hati ya mashitaka hayo.
No comments:
Post a Comment