Monday, May 20, 2013

CCM YAKAA NA WABUNGE WAKE DODOMA

Chama cha Mapinduzi (CCM) jana tarehe 19.05.2013 kilifanya kikao chake na wabunge wa CCM kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete katika ukumbi wa jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma .

M/kiti wa CCM Taifa Rais J.K.Nyerere akitoa maelekezo kwa wabunge.






Mh.Rage akikataa kutaniwa baada ya timu yake kufungwa.









Mh.Kalogerezi na Mwakyembe.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...