Thursday, May 23, 2013

DIAMOND PLATNUMZ & NAY WA MITEGO KUFANYA USIKU WA MUZIKI GANI KUWA WA KIPEKEE ZAIDI NDANI YA MAISHA CLUB.

Katika hali ya kuweka matashititi kwa mashabiki wa Bongo Flavour & Hip Hop,Diamond Platnumz na Nay wa Mitego wamejipanga vilivyo kuakikisha wewe shabiki wa pande zote mbili unapata kitu roho inapeda....

Katika Usiku wa Nay wa Mitego & Diamond Platnumz ndani ya Maisha Club kutakuwa na vitu vingi sana vya hatari na vya kinyama sana kwa mashabiki wa Diamond na Nay....!!

Usikose kufika ndani ya Maisha club Siku ya Jumapili ya Tarehe 25.5.2013 kushudia mpambano mkali na kumaliza
utata kati ya watu hawa wawili......

Kama wewe ni Msafi au Mgumu,siku hiyo kutakuwa kuna WHITE CARPET & GREEN CARPET....Kama wewe ni msafiii unajua kuwa Muziki wa Bongo fleva ndio unakukosha na kukuliwaza ukiwa na Mtoto mzuri Nyumbani kwako.....Basi white Carpet itakuhusu sana kwa wale wasafi na warembo,Flowers za mjini watahusika sana pale........

Kwa wale wagumu......watoboa pua na waongeaji sana Basi GREEN CARPET itakuhusu sana kupita pale kutia support kwa Nay a Mitego mahana kura zitahanza kupigiwa pale pale na wahamuzi mtakuwa wenyewe kuona ni wangapi na wingi wa watu ulienda wapi........!!



Baada ya hapo ni ndani kuangalia show kali ambao aijawahi tokea kwa mara ya kwanza ndani ya Maisha club Nay wa Mitego & Diamond Platnumz watashambulia Jukwaa kwa hali ya tofauti kabisa...
USIKOSEEE SIKU HIII.....USISUBIRI KUADIDHIWA
 NJOO USHUUDIE NA KUJUA MUZIKI WA KWELI
BONGOLAND......
Proudly sponsored by Coca cola

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...