Tuesday, June 18, 2013

BREAKING NEWS: WATU 4 WAFA NA WENGINE KUJERUHIWA KTK AJALI YA BASI MULEBA.

Ajali ya Basi:  Habari zilizotufikia hivi punde, ni kwamba watu 4 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la "Minziro Kwetu" lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Geita kupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba.

Taarifa zaidi tutazidi kuwaletea kadiri tutakavyokuwa tunazipata.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...