Tuesday, June 25, 2013

AJARI: BASI LA SUMRY LAUA WATU WAWILI MKOANI DODOMA.

Basi la kampuni ya mabasi ya Sumry limepata ajari na watu 2 wamekufa hapo hapo na wengine 2  kujeruhiwa.Ajari hiyo iliyotokea jana usiku ilihusisha basi la Sumry lililokuwa linatokea Bukoba kuelekea Dar baada ya kugongana na Lori mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...