Tuesday, June 25, 2013

TANAPA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA HABARI KUKABILIANA NA UJANGIRI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Balozi Khamis Kagasheki ametangaza vita dhidi ya ujangiri. Mh.Kagasheki ameyasema hayo wakati akifungua semina iliyoandaliwa na Tanzania National parks (TANAPA) na Wahariri wa habari nchini iliyofanyika Iringa jana.
"Tunatakiwa kuchukua hatua sasa.Hali inatisha na haivumiliki" alisema wakati akijibu hoja juu ya ujangiri unaofanywa juu ya Tembo ndani ya nchi.
MKURUGENZI MKUU WA TANAPA ALLAN KIJAZI AKIONGEA KWENYE SEMINA.

DR. ALFRED KIKOTI AKIWASILISHA MADA JUU YA UJANGIRI WA TEMBO

DR. AYUB RIOBA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM AKITOA MADA KWENYE SEMINA HIYO.

HON. PETER MSIGWA AKICHANGIA KATIKA SEMINA HIYO.

MKUU WA MKOA WA IRINGA DR. CHRISTINE ISHENGOMA AKIONGEA KWENYE SEMINA.

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH.BALOZI KHAMIS KAGASHEKI AKIFUNGUA SEMINA.

MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA MH. JAMES LEMBELI AKIONGEA KWENYE SEMINA.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...