Saturday, July 27, 2013

RAIS KIKWETE AKIZINDUA BARABARA YA KAGOMA - RUSAUNGA MKOANI KAGERA.

Rais Kikwete akizindua barabara ya Kagoma - Rusaunga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete jana alizingua bara bara ya Kagoma -Rusaunga yenye urefu wa Km 200 ambayo imekamilika kwa 97% ambapo sehemu iliyobaki ni M 500 na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi ujao.
barabara iliyozinduliwa.


Waziri wa ujenzi Dk Pombe Magufuli akipinga ngoma ya Nyamigogo.

Rais Kikwete akipanda mti katika eneo la uzinduzi huliofanyika kwenye njia panda Wilayani Biharamulo.

 Mawaziri walioongozana na Rais pia wameshiriki kupanda mti

Kamanda wa polisi Mkoani Kagera PHILIP KALANGI, akifuatilia ulinzi na usalama wakati wa uzinduzi na hotuba ya rais Wilayani Biharamulo. Picha na Mwanaharakati- Mac Ngaiza.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...