Wednesday, July 17, 2013

HABARI KWA UFUPI KUTOKA ARUSHA, MAREKANI NA INDIA.

Mtuhumiwa wa Tindikali:
Polisi jijini Arusha wamemkamata mtu mmoja kwa tuhuma za kumshambulia kwa kummwagia tindikali Sheikh wa Arumeru, Said Juma M&akamba.

Barclays Hatiani:
Benki ya Kimataifa ya Barclays  imepigwa faini ya Dola M&ilioni 435 huko M&arekani kwa kufanya hila na kupanga bei isivyo halali katika soko la umeme.

Chakula chaua 20:
Watoto 20 wamekufa baada ya kula chakula cha mchana kinachosadikiwa kuwa na sumu wakiwa shuleni nchini India, na wengine 28 wako hospitalini.


No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...