![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba jana Julai 25, 2013. |
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba jana Julai 25, 2013. Aliyeshika utepe ni Jaji Mkuu, Othman Chande. |
![]() |
| Rais Kikwete akifuatana na Jaji Mkuu wakati akikagua jengo la mahakama hiyo. |
![]() |
| Jaji Mkuu Othman Chande akimpa maelezo Rais Kikwete wakati wakiwa kwenye jengo la mahakama hiyo. |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete na Jaji Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa mahakama waliohudhuria uzinduzi wa jengo hilo la mahakama. |
![]() |
| Baadhi ya watu waliofika kwenye sherehe za uzinduzi wa jengo hilo. Picha na Ikulu. |






No comments:
Post a Comment