Monday, March 4, 2013

MAKADINALI WA KANISA KATOLIKI WAKUTANA KUMCHAGUA PAPA

Baadhi ya Makadinali wanaoshiriki kikao hicho
Makadinali wa Kanisa Katoliki kutoka mataifa yote duniani wamekusanyika mjini Roma Italia kuanza mkutano wa awali wa faragha wa kumchagua mrithi wa Papa Benedict XVI.
Ikumbukwe kuwa siku chache kabla ya Papa Benedict XVI kujiuzulu alibadilisha katiba na kusema uchaguzi wa papa ufanyike siku chache baada ya Papa kufa au kujiuzulu.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...