Friday, March 1, 2013

MKURUGENZI TAZARA AACHIA NGAZI

Aliyekuwa Mtendaji mkuu wa TAZARA Bw.Akashambatwa Mbikusite
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na zambia Bw. Akashambatwa Mbikusita-Lewanika ameachia ngazi baada ya kampeni zake za kuendelea kwa kipindi kingine cha miaka 3 kushindikana.
Inasemekana muda wa kuiongozwa TAZARA kwa Bw.Akashambatwa uliisha rasmi mwishoni mwa Januari 2013 lakini uliongezwa kutokana na ombi maalum la uongozi wa nchi ya Zambia.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...