Kombe la Mabara limeitimishwa rasmi usiku wa kuamkia leo baada ya Brazil kutwaa taji hilo kwa kuwachapa Hispania magoli 3-0. Magoli ya Brazil yalifungwa na Frederico Chaves Guedes (Fred) dakika ya 2 na 47 huku na Neymar da Silva Santos akifunga dakika ya 44.

Kukamilika kwa mashindano hayo tuzo mbali mbali zilitolewa kama ifuatavyo:-
Mchezaji Bora -
Neymar da Silva Santos
Kipa bora -
Julio Cesar
Mfungaji bora -
Fernando Torres
Timu yenye nidhamu -
Hispania (Licha ya kadi nyekundu ya Pique)
No comments:
Post a Comment