Wednesday, August 7, 2013

SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA WAKULIMA NANE NANE YAFANA KANDA YA MASHARIKI, DR.KIGODA MGENI RASMI.

Mgeni rasmi Waziri wa Viwanda na Biashara Dr.Abdallah Kigoda akiwa katika Ofisi za Taso kanda ya mashariki.

Dr.Kigoda akiwa anasaini kitabu katika banda la Agricultural Media

Mkurugenzi wa agricultural Media akiwa anatoa maelezo kwa Mgeni rasmi.



Dr.Kigoda akiwa anaingia katika banda la Bodi ya pamba.

Dr.Kigoda akiwa anakagua mashamba ya pamba katika jengo la Bodi ya pamba.

Dr.Kigoda akiwa anasaini kitabu cha wageni katika jengo la Bodi ya pamba.

Dr.Kigoda akiwa anazungushwa katika jengo la bodi ya pamba.



dr.kigoda akiwa anatoka katika jengo la bodi ya pamba.

Dr.Kigoda akiwa anatembelea mashamba ya miwa katika jengo la sekta ya Sukari.

Dr.kigoda akiwa anapewa maelezo namna ya kutengeneza sukari kwa mkulima wa kawaida.



Dr.kigoda akiwa anasaini kitabu cha wageni katika jengo la Sekta ya sukari.

Michezo mbali mbali ilishamili katika viwanja vya nane nane kanda ya mashariki mjini Morogoro na hapa ni kijana akionesha umaili wake wa kutembea juu ya kamba.
Mgeni rasmi Dr.Kigoda akiwa anazunguka katika viwanja vya Mwl.j.K.Nyerere kanda ya mashariki mjini morogoro katika kilele cha maonesho ya nane nane 2013.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...