Monday, August 26, 2013

Matumizi Bora ya Mtama husaidia kuboresha Lishe katika jamii.

Afisa Mwandamizi Chakula na Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Bw. Onesmo Omella akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu matumizi bora ya mtama na jinsi unavyosaidia kuboresha lishe kwa mlaji, katika  mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) Jijini Dar es Salaam leo.  Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...