Wednesday, August 28, 2013

SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MOROGORO

Umati wa watu wafurika mahakamani Morogoro asubuhi ya leo kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda, Ofisi nyingi zafungwa, huduma za jamii jirani na Mahakama zasimama. Aliposimamishwa kizimbani asomewa upya mashtaka matatu na kesi yaahirishwa hadi Septemba 11 na kuhusu uamuzi wa dhamana kutolewa Septemba 17.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...