Wednesday, August 28, 2013

AJALI YAUA 13, NA 11 WAJERUHIWA KAHAMA.

Watu 13 wamekufa hapo hapo na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya Kahama mkoani Shinyanga baada ya Hiace kutoka Bukombe kwenda Kahama kupata ajali mbaya kwa kuligonga lori asubuhi  ya leo. Polisi Mkoani hapo wako eneo la tukio na kwa habari zaidi tutazidi kuwafahamisha kadili tutakavyokuwa tunazipata. Endelea kutembelea blogu hii.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...