"Tunatakiwa kuchukua hatua sasa.Hali inatisha na haivumiliki" alisema wakati akijibu hoja juu ya ujangiri unaofanywa juu ya Tembo ndani ya nchi.
![]() |
| MKURUGENZI MKUU WA TANAPA ALLAN KIJAZI AKIONGEA KWENYE SEMINA. |
![]() |
| DR. ALFRED KIKOTI AKIWASILISHA MADA JUU YA UJANGIRI WA TEMBO |
![]() |
| DR. AYUB RIOBA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM AKITOA MADA KWENYE SEMINA HIYO. |
![]() |
| HON. PETER MSIGWA AKICHANGIA KATIKA SEMINA HIYO. |
![]() |
| MKUU WA MKOA WA IRINGA DR. CHRISTINE ISHENGOMA AKIONGEA KWENYE SEMINA. |
![]() |
| WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH.BALOZI KHAMIS KAGASHEKI AKIFUNGUA SEMINA. |
![]() |
| MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA MH. JAMES LEMBELI AKIONGEA KWENYE SEMINA. |








No comments:
Post a Comment