Friday, July 19, 2013

KUITWA KWENYE USAILI - UTUMISHI.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. EA.7/96/01/D/06                                                                                 18 Julai, 2013
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba Tanzania Investment Centre (TIC), anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili. Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 kabla ya muda wa mtihani wa mchujo kuanza.
2. Kwa wale wasiokuwa na mtihani wa mchujo usaili utaanza saa mbili (2:00) asubuhi na utafanyika katika mahali na tarehe kama inavyoonyesha katika nafasi husika.
3. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k
4. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.
5. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
8. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
9. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
10. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
11. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.

 MWAJIRI: TANZANIA INVESTMENT CENTRE (TIC)
KADA: COMPUTER PROGRAMMER
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: HAKUNA MCHUJO
TAREHE YA USAILI WA ANA KWA ANA: 26/07/2013, SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI.
MAHALI: OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA, MAKTABA KUU YA TAIFA, GHOROFA YA PILI, BARABARA YA BIBITITI MOHAMED.
 
MAJINA NA ANWANI ZAO:
1. HAMISI SAIDI - P. O BOX 65196 DAR ES SALAAM,
2. GUDILA PAUL MUSHI - P.O BOX 31694 DAR ES SALAAM,
3. ZUHURA D. OMARY - P.O BOX 24597 DAR ES SALAAM,
4. MUSTAFA MOHAMED JUMA - P.O. BOX 9070 DAR ES SALAAM,
5. ADAM BENJAMIN MAZOYA - P.O. BOX 105808 DAR ES SALAAM,
6. ANYOSISYE JOEL - P.O BOX 11342 ARUSHA,
7. GODBLESS KWAYU - P.O BOX 8467 DAR ES SALAAM.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...