Rais mtaafu wa Afrika Kusini Nelson Rolihlahla Mandela alizaliwa tarehe 18, Julai 1918 huko Mvezo Afrika Kusini na hii leo anatimiza umri wa miaka 95. Katika maisha yake ameweza kuoa wake watatu mpaka sasa wa kwanza ni Evelyn Ntoko Mase (1944–1957), wa pili ni Winnie Madikizela (1958–1996) na wa mwisho na ambaye anaendelea kuishi naye mpaka sasa ni Graça Machel (1998–present).
Uzazi wa Mzee Mandela ni wa watoto Madiba Thembekile,Makgatho Lewanika, Makaziwe, Maki,Zenani na Zindziswa.
Leo Afrika Kusini wanasherehekea kuzaliwa kwa Mandela na kutimiza umri wa miaka 95 ya kuzaliwa. Katika hatua nyingine Rais Obama wa M&arekani amemtumia salamu za pongezi na ameitaka dunia kuheshimu mchango wake.
Mzee Mandela amekuwa Rais wa Afrika Kusini tangu 10, Mei 1994 – 14, Juni 1999 na ndiye Rais wa kwanza wa Asili ya Kiafrika kuongoza Afrika Kusini.
Kwa sasa Mzee Mandela bado amelazwa katika hospitali akiendelea na matibabu.
Na hii hapa ndiyo taarifa kamili ya Mandela.
Personal details | |
---|---|
Born | Rolihlahla Mandela 18 July 1918 Mvezo, South Africa |
Nationality | South African |
Political party | African National Congress |
Spouse(s) | Evelyn Ntoko Mase (1944–1957) Winnie Madikizela (1958–1996) Graça Machel (1998–present) |
Children | Madiba Thembekile Makgatho Lewanika Makaziwe Maki Zenani Zindziswa Josina Z. Machel (step daughter) Malengani Machel (step son) |
Residence | Houghton Estate, Johannesburg, Gauteng, South Africa |
Alma mater | University of Fort Hare University of London External System University of South Africa University of the Witwatersrand |
Religion | Christianity (Methodism) |
Signature | |
Website | www.nelsonmandela.org |
No comments:
Post a Comment