Wednesday, July 31, 2013
MATUKIO KAMILI YA SIKU YA KWANZA YA ZIARA YA WAZIRI MKUU WA THAILAND YINGLUCK SHINAWATRA HAPA NCHINI.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra kwa viongozi mbali mbali Serikali waliofika kumlaki mgeni huyo. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra wakipokea heshima. |
Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akikagua gwaride. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra wakiangalia burudani ya ngoma. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra. |
Tuesday, July 30, 2013
KESI YA LADY JAYDEE YAAHIRISHWA TENA HADI AGOSTI 2.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi Agosti 2, mwaka huu.
Kesi hiyo ya madai iliyopo mbele ya Hakimu Athumani Nyamlani, leo ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa lakini ilishindikana kutokana na wakili anayemtetea, Jaydee kutotokea mahakamani hapo na kumtuma mwakilishi wake.
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa wakili huyo wa Jaydee, amekwenda katika Mahakama Kuu kuhudhuria kesi nyingine na hivyo kushindwa kufika mahakamani hapo kuendelea na kesi hiyo na hivyo kuahirishwa hadi Agosti 2, mwaka huu.
Kesi hiyo ya madai ilipelekwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Kampuni ya Clouds Media kwa madai ya kuukashifu uongozi huo.
Kwa mujibu wa mdai huyo, ambaye ni uongozi wa Clouds Media ulidai kuwa mdaiwa huyo ambaye ni Lady Jaydee aliandika maneno ya kuukashifu uongozi huo kupitia blogu yake.
HABARI KWA UFUPI: KUTOKA DAR - BARABARA KUFUNGWA,KENYA- HUKUMU YA KIFO YATOLEWA NA ITALIA - MASHOGA WASIHUKUMIWE.
ARDHI YAMILIKIWA KIHOLELA:
Mbunge halima Mdee akerwa na wenye dhamana kuwamilikisha wageni ardhi kiholela bila kupitia kituo cha uwekezaji (TIC) nchini.
BARABARA KUFUNGWA:
Nyerere road,railway,Gerezani na Sokoine zitafungwa saa 6:00 - 7:30 leo mchana kupisha ujio wa Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra.
HUKUMU YA KIFO KENYA:
Mahakama ya Kenya imemhukumu Ali Batitu Kololo kifungo cha maisha kwa kumuua mtalii Muingereza David Tebbutt na kumteka mkewe Judith mwaka 2011.
USHOGA ROMA:
Papa Francis ataka mashoga na wasagaji wasitengwe,wafanywe ni sehemu ya jamii.Ahoji wakimkiri Bwana na kuwa na nia njema, mimi ni nsani niwahukumu?

HIVI NDIVYO RAIS KIKWETE ALIVYOHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo. |
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya. |
Kwa heshima kubwa Rais Jakaya Kikwete akivishwa uchifu.PICHA NA IKULU |
CHADEMA YAVUNA WANACHAMA 300 TANGA.
Wanachama hao wamepatikana katika
mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza na
Korogwe uliohutubiwa na Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan
Bahweje.
Wanachama 220 wamejiunga na chama hicho
katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Kwengoma, Kata ya
Kwamatuku, Wilaya ya Handeni na wanachama 71 ni kutoka Kibanda, wilayani
Muheza.
Wanachama wengine 21 akiwamo mwenyekiti
wa serikali ya kitongoji cha Turiani, Bakari Kimea walijivua uanachama
wa CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kwashemshi, Wilaya ya
Korogwe.
Wakizungumza katika mikutano hiyo baada
ya kujiunga na CHADEMA, walisema wameamua kukihama Chama Cha Mapinduzi
(CCM) kwa kuwa kimeshindwa kuondoa kero zinazowakabili kwa miaka mingi.
Miongoni mwa kero hizo kwa mujibu wa
wananchi hao ni unyanyaswaji unaofanywa na viongozi wa serikali za
vijiji, kunyang’anywa ardhi, kero ya maji na kuvunjiwa mikataba na
muwekezaji.
Chanzo: CHADEMA Social media.
Monday, July 29, 2013
Tigo yapata washindi 7 wapya katika droo ya pili ya “Miliki Biashara Yako”.
Tigo
Tanzania leo imefanya droo yake ya pili katika promosheni yao kabambe
iitwayo “Miliki Biashara Yako” na kupata washindi wapya 7 wa wiki
iliyopita ambapo kila mmoja alijishindia Bajaji mpya yenye thamani ya
Tsh 6,700,000.
Washindi
hao ni Nicolus Maliyatabu Sanga (43) mkazi wa Dar, Julius Dilikwije
mkazi wa Same, Isabellah Edward Msemo (24)-Dsm, Eliasa Hamisi
Mbano(48)-Tabora, Charles Benedect Kato(41) – Kinyerezi Dsm, Evelyn
Elisalia Massawe (22) mwanafunzi mkazi wa Kimara Dsm na Khalidi Jafary
Gomani(27)-Dsm.
MSTAHIKI MEYA JERRY SILAA KWANIABA YA MDAU AKABIDHI VIFAA KWA AL – MADRASSATUL MUNAUWARATUL ISLAMIYA YA MSASANI.
TAARIFA YA TIMU YA YANGA KUHUSU AZAM TV KUONESHA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (katikati) akiongea na waanidishi wa habari, Makamu mwenyekiti Clement Sanga (kushoto) na mjumbe wa kamati ya utendaji Mark Anthony (kulia) |
Uongozi wa klabu ya Yanga leo umefanya mkutano na waandishi wa
habari juu ya urushwaji wa michezo yake ya Ligi Kuu katika kituo cha
luninga cha Azam ambacho kimeingia makubaliano na kamati ya Ligi Kuu
kuonyeshwa michezo yote ya ligi kwa kipindi cha miaka miatatu (3).
Akiongea na waandishi wa habari mwenyekiti wa klabu ya
Yanga Yusuf Manji amesema uamuzi wa kamati ya ligi kuingia mkataba na
kituo cha Azam Tv bila ya kuwashirikisha wahusika wenyewe ambao ni
vilabu vishiriki haukuwa sawa.
Sisi kama klabu ya
Yanga tulikaa kikao cha kamati ya utendaji na kuona taratibu za kupewa
haki ya matangazo kwa kampuni ya Azam haikua sawa, sisi viongozi wa
kalbu ya Yanga hatukushirikishwa katika mchakato huo hivyo tukaona ni
vema tuje kwa vyombo vya habari tuulezee umma juu ya maazimio ya kamati
ya utendaji.
Ifuatayo ni taarifa kamili kwa vyombo
vya habari:
YAH: URUSHWAJI KATIKA
TELEVISHENI MICHEZO YA YANGA.
Hivi
karibuni, Tanzania Football Federation (TFF) iliunda Tanzania Premier
League chini ya Bodi yampitoBodi ya TPL ambayo ni msimamizi mpaka hapo
Bodi itakayokuwa imechaguliwa kidemokrasia. Bodi hii imeamua peke yake
kuingia katika mkataba wa miaka 3 (mitatu) na kampuni inayoitwa Azam
Television (ambayo ina mapromota wale wale wanaomiliki Azam Football
Club). Makubaliano ambayo Bodi ya TPL inatarajia kuingia na Azam
Television, Kamati ya Utendaji ya YANGA inalipinga kwa nguvu zote katika
misingi ifuatayo:
1. BODI YA TPL
15 Doctoral Fellowships for Foreign Students at University of Padua in Italy, 2013/14.
University of Padua is inviting applications for 15 doctoral
fellowships for the academic year 2013/2014. The duration of the
doctoral courses is three years, commencing on 1st January 2014 and
ending on 31st December 2016. Fellowship of 13.638,47 Euro per year
(gross value) will be awarded to candidates by Fondazione Cassa di
Risparmio di Padova e Rovigo. The successful candidates will be offered
full board and lodging at the ESU–Regional Agency for the Right to
Education. The application deadline is 19th September 2013.
Study Subject(s): Fellowships are offered for studying Animal and Food Science, Arterial Hypertension and Vascular Biology, Astronomy, bio medicine, Bio sciences and Biotechnology, Civil and environmental engineering sciences, Crop Science, Departmental medicine and health planning sciences, Earth Science, economics and management, fusion science and engineering, Industrial engineering, information engineering, History, criticism and preservation of cultural heritage, International law and private and labour law, Land, environment, resources and health, Linguistics, Philology and Literary science, Management Engineering and Real Estate Appraisal, materials engineering and science, Mathematical science, Mechatronics and product innovation engineering, Medical, Clinical and Experimental Sciences, Molecular Sciences, oncology and surgical oncology, Pedagogical, Educational and Instructional Science, Pharmacological science, Philosophy, Physics, Psychological sciences, Social Sciences: Interactions, communications and cultural constructions, Space Sciences, Technologies and Measurements, Statistical Sciences and Veterinary sciences.
Course Level: Fellowships are provided to pursue doctoral studies at University of Padua, Italy
Scholarship Provider: Fondazione Cassa di Risparmio di Padova e Rovigo
Scholarship can be taken at: Italy
Eligibility: In order to be deemed eligible, applicants are required to meet the following criteria:
-have a foreign (non-Italian) citizenship;
-have a foreign (non-Italian) residence. Candidates must be in possession of this requirement within the deadline date.
-Be in possession of a foreign (non-Italian) academic qualification recognised as equivalent to the Diploma Degree / Degree / Master amounting to at least four years of full time university education and leading to a doctorate in the country where the studies were carried out. The date of award of the qualification must be no more than 8 years before the deadline of the call. For the sole purpose of this selection procedure, the qualification must be recognized equivalent to an Italian one by the Commission of the PhD course applied for (art. 4).

HABARI KWA UFUPI: MIZENGO PINDA KUSHITAKIWA, YANGA WAGOMEA AZAM TV.
MIZENGO PINDA KUSHITAKIWA:
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetangaza kumfungulia mashitaka Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.mizengo Petter kayanza Pinda kwa kuvunja katiba kutokana na kauli tata aliyoitoa bungeni.
YANGA YAGOMEA AZAM TV:
Klabu ya Yanga imegomea kuonyeshwa moja kwa moja mechi zake za ligi kuu msimu ujao katika kituo cha televisheni cha kampuni ya Azam.

KAMPENI ZA UCHAGUZI KUFUNGWA LEO ZIMBABWE.
Rais mstaafu wa Nigeria Olesegun Obasanjo yuko nchini Zimbabwe kama mwangalizi wa uchaguzi mkuu. |
Kampeini za kisiasa nchini Zimbabwe zinamalizika hii
leo kabla ya uchaguzi mkuu hapo Jumatano wiki hii.
Kiongozi wa chama cha Movement for Democratic
Change ambaye pia ni Waziri MKuu ,Morgan Tsvangirai, hii leo atahutubia
mkutano wa hadhara mjini Harare katika uwanja alikofanya mkutano wake
hio jana Rais Robert Mugabe.Viongozi hao wawili wamekua katika serikali ya muungano tangu mwaka wa 2008 na wametofautiana kuhusu muda uliowekwa kufanyika uchaguzi. Kumekua pia na madai ya wizi wa kura, na vitisho dhidi ya wafuasi wa MDC.
Shirika la kimataifa linalotathmini hali ya mizozo The International Crisis Group limeonya kwamba hakuna mazingira ya uchaguzi huru na haki Zimbabwe.
CHANZO:BBC.
MAJINA YA WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)- AWAMU YA PILI
S/N | EMPLOYEE NAME | GENDER | ADDRESS | JOB | EMPLOYMENT CENTER |
---|---|---|---|---|---|
1 | ANASTAZIA MASANJA | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA | |
2 | GWAARUDA G GIDASAIDA | M | S L P 56 MUHEZA | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA PANGANI |
3 | BATULI ISMAIL MITURO | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA RUFIJI |
4 | DAWIA YAHAYA MANDIA | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO |
5 | ESTHER K KALONGO | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MPWAPWA |
6 | EVA JOHN | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KAHAMA |
7 | HAPYANA A KALALU | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA CHAMWINO |
8 | JOAN IRENE MAKAMBA | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MVOMERO |
9 | LILIAN JOSEPH MBONDE | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA PANGANI |
10 | MWASI SAMWEL | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MISSUNGWI |
11 | ROIDA M MSANGA | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA NANYUMBU |
12 | ROSE E NOMBO | KE | S.L.P 9083 DSM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | KATIBU TAWALA MKOA WA RUVUMA |
13 | VERDIANA B MPACHA | KE | S L P 9083,DAR ES SALAAM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | KATIBU TAWALA MKOA WA MTWARA |
14 | ADELINA VENDELINE | KE | S L P 318 MAKAMBKO | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE |
15 | ADOLFINA SAMWEL | KE | S.L.P KIGOMA | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA IGUNGA |
16 | AGNES MITAMBA | KE | S.L.P 187, SUMBAWANGA | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI WA MANISPAA YA SUMBAWANGA |
17 | AGNES PETRO KABULULU | KE | S.L.P 72085 DSM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA |
18 | AISHA HASSAN SALUM | KE | C/O HARUNA HASSAN SL.P 9083 DSM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO |
19 | AISHA J ILANGA | KE | S L P 820 BUKOB A | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | KATIBU TAWALA MKOA WA KAGERA |
20 | AISHA R SANGA | KE | S.L.P 90294 DSM | WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS) | MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO |
MAJINA YA MAAFISA AFYA MAZINGIRA II WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI AWAMU YA PILI.
S/N | EMPLOYEE NAME | GENDER | ADDRESS | JOB | EMPLOYMENT CENTER |
---|---|---|---|---|---|
1 | LAURENCIA WANKYO | F | S.L.P DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII |
2 | TULAHIGWA K. RODENI | F | S.L.P 70 MBOZI | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | TACAIDS |
3 | WINFRIDA TIBAKYA | F | S.L.P104467 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOSHI |
4 | ABRAHAM ALI ALI | M | S.L.P 61801 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE |
5 | DEOGRATIAS MPAGAMA | M | S.L.P DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | MKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA KISARAWE |
6 | GODFREY E. FWENI | M | S.L.P 35602 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI |
7 | LUSUNGU G. PANGISA | M | S.L.P 3 LUDEWA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | MKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA MUFINDI |
8 | MARTIN M. MSOPELA | M | S.L.P 271 TANGA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | MKURUGENZI WA JIJI TANGA |
9 | NISALILE K. MWANGOKA | M | S.L.P IRAMBA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII |
10 | NIYUKURI ELIAS PETER | M | S.L.P 61801 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | MKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA KOROGWE |
11 | RENATUS ANATORY | M | S.L.P 65015 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA |
12 | ROGATHO H. NZIKU | M | S.L.P 56 NJOMBE | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE |
13 | SAIMON S. NDALIO | M | S.L.P 65 KILOMBERO | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU TAWALA MKOA WA GEITA |
14 | SELEMAN RAMADHAN MICHAEL | M | S.L.P 104666 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II | KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII (TANGA SOEHS) |
Total Records Found: 14 |
MAJINA YA MAAFISA AFYA WASAIDIZI WALIOPANGANGIWA VITUO VYA KAZI AWAMU YA PILI.
S/N | EMPLOYEE NAME | GENDER | ADDRESS | JOB | EMPLOYMENT CENTER |
---|---|---|---|---|---|
1 | SEKUNDA LUDOVICK KATEGERE | S.L.P 387 KARAGWE | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KAHAMA | |
2 | AGNES MWAKIMONGA | KE | S.L.P 1377 TANGA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA MUHEZA |
3 | AMINA POLE | KE | S.L.P 10762 MWANZA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI |
4 | ANGELA MKUSA | KE | S.L.P 47 KIBAIGWA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO |
5 | ANGELICA MPAMBO WILLIAN | KE | S.L.P 20443 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA BAHI |
6 | ASIA MOHAMED AKULE | KE | S.L.P 151 MASASI | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MASASI |
7 | BROWN MWATEBELA | KE | S.L.P 487 IRINGA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA NJOMBE |
8 | DATIVA MUGISHA LAURENT | KE | S.L.P 1433 MWANZA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA MISUNGWI |
9 | DEODATH MTEI JUMANNE | KE | S.L.P 10850 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA KILOMBERO |
10 | DORAH MAGOHA | KE | S.L.P 40 RUJEWA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA RUNGWE |
11 | DORISIA S. CHOTTA | KE | S.L.P 200 NGUDU | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KAHAMA |
12 | ELIZABETH MABAGALA | KE | S.L.P 81 NANSIO UKEREWE | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MOROGORO, SENGEREMA, MUSOMA |
13 | ELIZABETH MABAGALA | KE | S.L.P 81 UKEREWE | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI WA MANISPAA YA MUSOMA |
14 | ESTER MMANGINYA LUCAS | KE | S.L.P 11341 MWANZA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA SENGEREMA |
15 | FATUMA MWALIMU | KE | S.L.P 759 MVOMERO | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA HANDENI |
16 | FREDDY M. KAYINGA | KE | S.L.P 72687 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MBINGA |
17 | GRACE MASHAMBA | KE | S.L.P 11050 MWANZA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA NAMTUMBO |
18 | HAWA MADUNDA | KE | S.L.P 12359 DSM | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI WA HALAMSHAURI YA MJI WA KIBAHA |
19 | JENISTA NATHANIEL | KE | S L P 10295, ARUSHA | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA SERENGETI |
20 | JOYCE S. MTAMAKA | KE | S.L.P | MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZI | MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KILOSA |
Saturday, July 27, 2013
MBUNGE JOSHUA NASARI MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUSHAMBULIA.
Habari zilizotufikia hivi punde nikwamba Polisi mkoani Arusha inamshikilia na kumhoji mbunge wa Arumeru Mashariki Mh.Joshua Nasari kwa tuhuma za kumshambulia Husein Warsama Julai 16 mwaka huu.
Kwa habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadiri tutakavyokuwa tunazipata.
Kwa habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadiri tutakavyokuwa tunazipata.
Undergraduate Scholarships for International Students in Australia, 2014.
Bond University is providing Scholarships for International Students in Australia . The scholarships are available for pursuing undergraduate degree level. Students whose first language is not English must refer to and meet Bond University’s Standard English Language Requirements. The value of scholarship is generally 10-40% tuition for any undergraduate degree combination (excluding Bond University’s Medical Program). The number of Deans’ scholarships awarded per annum is at the discretion of the Dean of each Faculty.
Study Subject(s): Scholarships are provided for any one courses (excluding Bond University’s Medical Program) offered by the Bond University in Australia.
Course Level: The scholarships are available for pursuing undergraduate degree level at Bond University in Australia.
Scholarship Provider: Bond University in Australia.
Scholarship can be taken at: Australia
Eligibility: -Dean’s Scholarships are open to international students.
-Scholarships are awarded on the basis of outstanding academic and other achievements.
-Students whose first language is not English must refer to and meet Bond University’s standard English Language Requirements.
RAIS KIKWETE AKIZINDUA BARABARA YA KAGOMA - RUSAUNGA MKOANI KAGERA.
Rais Kikwete akizindua barabara ya Kagoma - Rusaunga. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete jana alizingua bara bara ya Kagoma -Rusaunga yenye urefu wa Km 200 ambayo imekamilika kwa 97% ambapo sehemu iliyobaki ni M 500 na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi ujao.
barabara iliyozinduliwa. |
Waziri wa ujenzi Dk Pombe Magufuli akipinga ngoma ya Nyamigogo. |
Rais Kikwete akipanda mti katika eneo la uzinduzi huliofanyika kwenye njia panda Wilayani Biharamulo. |
Mawaziri walioongozana na Rais pia wameshiriki kupanda mti |
Kamanda wa polisi Mkoani Kagera PHILIP KALANGI, akifuatilia ulinzi na usalama wakati wa uzinduzi na hotuba ya rais Wilayani Biharamulo. Picha na Mwanaharakati- Mac Ngaiza. |
MATUKIO KAMILI YA ZIARA YA RAIS KIWETE AKIWA WILAYANI MULEBA.
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera. |
Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba |
Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni |
Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka |
Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete wilayani Muleba |
Friday, July 26, 2013
HABARI KWA UFUPI KUTOKA MARA- KAHAWA KUNG'OLEWA,TABORA - USHIKINA WAUA,DAR- KESI YA DECI YAPIGWA KALENDA, NA MAKAMU WA RAIS ATOA ONYO.
USHIRIKINA WAUA TABORA:
Watu 3 wa ukoo mmoja wameuawa kwa kukatwa mapanga wakituhumiwa kuwa wachawi Wilayani Nzega, na msako waendelea na kuahidi vifo zaid.
KALENDA KESI YA DECI:
Hukumu dhidi ya viongozi wa Taasisi iliyoendesha mchezo haramu wa upatu ya DECI iliyopaswa kusomwa leo Kisutu imeahirishwa hadi Agosti 19.
KAHAWA YACHEFUA MARA:
Wakulima Tarime watishia kung'oa miche ya kahawa kupinga kulazimishwa kuuza kilo kwa Sh.700/= badala ya sh.1,500/= na wataka serikali iwatetee.
ONYO ARDHI:
Makamu wa Rais Mohamed Bilal aasa wakulima wasijichukulie sheria mkononi katika migogoro ya ardhi kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya MVIWATA leo.

2013/14 Massey University Masterate Scholarships for Thesis Research Component in New Zealand.
Massey University offers Masterate Scholarships and Masterate
Scholarships for Maori Students for the purpose of encouraging
postgraduate research. The scholarships are open to persons who are
enrolled or eligible to enroll full-time for the thesis research
component of their Masters degree. Every scholarship shall be tenable at
Massey University for a maximum period of 12 months devoted to
full-time research. The tenure of every Masterate Scholarship shall
commence either by 1 April (December round) or by 1 September (July
round). The application deadline is 1st October 2013.
Study Subject(s): Every applicant shall, during the tenure of the scholarship, be enrolled as a full-time student of Massey University and shall pursue at Massey University an approved programme of research approved by the relevant Massey University College Academic Director for the Master’s degree.
Course Level: Scholarships are available for pursuing postgraduate research degree level at Massey University.
Scholarship Provider: Massey University, New Zealand
Scholarship can be taken at: New Zealand and Overseas (Applicants intending to pursue part of the approved programme of research at a university or other approved institution overseas are required to inform the Scholarships Committee in writing of the intended overseas study period, with a statement of support for this plan by their supervisor).
Eligibility: -The scholarships are open to persons who are enrolled or eligible to enrol full-time for the thesis research component of their Masters degree at Massey University. The research component must be 90 – 120 credits (this may comprise two research papers studied in consecutive semesters that constitute a single project overall). A full-time candidate will be expected to work 40 – 50 hours per week on their Masterate qualification. Part-time applicants are not eligible.
-Consideration will normally only be given to students with a GPA of 7.5 or better (on a 9 point scale). This is above an average grade of A-.

Matokeo ya Usaili wa Mchujo Utumishi, Tarehe 26-July-2013.
Wasailiwa waliochagulia kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa
kufika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Kuu ya Taifa siku
ya Jumamosi, tarehe 27-July 2013, SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI. wakiwa na
vyeti vyao (Original Certificates)
SN. EXAM NUMBER SCORES REMARKS
1 PSRS-TIC-CP-1003 80.00 SELECTED
2 PSRS-TIC-CP-1000 60.00 SELECTED
3 PSRS-TIC-CP-1002 52.50 SELECTED
4 PSRS-TIC-CP-1005 52.50 SELECTED
5 PSRS-TIC-CP-1001 50.00 SELECTED
6 PSRS-TIC-CP-1006 42.50 NOT SELECTED
7 PSRS-TIC-CP-1004 37.50 NOT SELECTED
SN. EXAM NUMBER SCORES REMARKS
1 PSRS-TIC-CP-1003 80.00 SELECTED
2 PSRS-TIC-CP-1000 60.00 SELECTED
3 PSRS-TIC-CP-1002 52.50 SELECTED
4 PSRS-TIC-CP-1005 52.50 SELECTED
5 PSRS-TIC-CP-1001 50.00 SELECTED
6 PSRS-TIC-CP-1006 42.50 NOT SELECTED
7 PSRS-TIC-CP-1004 37.50 NOT SELECTED
JESHI LA POLISI MISRI LATOA ONYO KALI KWA RAIA.
Maandamano Nchini Misri. |
Mkuu wa majeshi Jenerali Abdel Fattah al-Sisi ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kuandamana katika b arabara za mji kuunga mkono juhudi zao za kukabiliana na vitendo vya kigaidi.
Wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Morsi vile vile wanatarajiwa kushiriki katika maandamano hayo.
Bwana Morsi amekuwa akizuiliwa na jeshi tangu tarehe tatu mwezi huu.
Mwendesha mashtaka mkuu wa serikali amesema, Bwana Morsi anazuiliwa kuhusiana na uhusiano na wapiganaji wa Kiislamu wa Hamas nchini Palestina.
Shirika la habari la serikali, Mena, limesema Bwana Morsi anachunguzwa kufuatia madai kuwa anashirikiana na kundi hilo la Hamas kushambulia vituo kadhaa vya polisi na magereza wakati wa mageuzi ya mwaka wa 2011.
Lakini chama chake cha Muslim Brotherhood, kimesema kuwa kilipata msaada kutoka kwa raia wa nchi hiyo kushambulia magereza na wala sio raia wa kigeni kama inavyodaiwa.
Tangu wakati huo, Bwana Morsi amekuwa akizuiliwa na jeshi la nchi hiyo katika eneo lisilojulikana.
Shirika hilo la Mena limesema agizo lilitolewa kwa rais huyo kuzuiliwa kwa muda wa siku kumi na tano.
Mwandishi wa BBC mjini Cairo anasema kuwa tangazo hilo sasa limeondoa wasi wasi kuhusiana na hatma yake, hasa kufuatia shinikizo kutoka kwa jamii ya kimataifa ya kutaka rais huyo wa zamani kauchiliwa huru an kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo.
Msemaji wa jeshi Kanali Ahmed Mohammed Ali amesema jeshi la nchi hiyo litaruhusu maandamano ya amani lakini ameonya kuwa watakabiliana vikali na kundi lolote ambalo litajaribu kusababisha machafuko.
Chanzo:BBC
RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba jana Julai 25, 2013. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba jana Julai 25, 2013. Aliyeshika utepe ni Jaji Mkuu, Othman Chande. |
Rais Kikwete akifuatana na Jaji Mkuu wakati akikagua jengo la mahakama hiyo. |
Jaji Mkuu Othman Chande akimpa maelezo Rais Kikwete wakati wakiwa kwenye jengo la mahakama hiyo. |
Rais Jakaya Kikwete na Jaji Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa mahakama waliohudhuria uzinduzi wa jengo hilo la mahakama. |
Baadhi ya watu waliofika kwenye sherehe za uzinduzi wa jengo hilo. Picha na Ikulu. |
Postgraduate Deans’ Scholarships for International Students at Bond University in Australia, 2014.
Each faculty of Bond University is offering scholarships for international students. The scholarships are available for pursuing postgraduate degree level. Students whose first language is not English must refer to and meet Bond University’s standard English Language Requirements. Generally the value of scholarship is 10-40% tuition for any postgraduate degree combination (excluding Bond University’s Medical Program, Master of Psychology, Doctor of Physiotherapy and Juris Doctor).
Study Subject(s): Scholarships are provided any one courses (excluding Bond University’s Medical Program, Master of Psychology, Doctor of Physiotherapy and Juris Doctor) offered by the Bond University in Australia
Course Level: The scholarships are available for pursuing postgraduate degree level at Bond University in Australia
Scholarship Provider: Bond University in Australia
Scholarship can be taken at: Australia
Eligibility: Dean’s Scholarships are open to international students
-Scholarships are awarded on the basis of outstanding academic and other achievements
-Students whose first language is not English must refer to and meet Bond University’s standard English Language Requirements
CHADEMA YAIKOROGA POLISI.
UAMUZI wa
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa
kuwasilisha ushahidi wa mauji ya mlipuko wa bomu uliotokea jijini
Arusha, umeliweka njia panda Jeshi la Polisi na hivyo kushindwa kuchukua
hatua.
Licha ya jeshi
hilo kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na kumtaka
awasilishe ushahidi huo, kiongozi huyo amekataa agizo hilo akisema kuwa
wamekubaliana kuutoa ushahidi huo kwa tume huru ya majaji endapo Rais
Jakaya Kikwete ataiunda kama walivyomuomba.
Chanzo chetu
ndani ya jeshi hilo, kimedokeza kuwa msimamo huo wa CHADEMA umeliweka
njia panda na hivyo kushindwa kuchukua hatua za kuwabaini watuhumiwa wa
tukio hilo na kuwafungulia mashtaka kutokana na mkanganyiko wa taarifa
zinazotolewa.
Jeshi hilo
linadaiwa kuwa awali lilitaka kujiegemeza kwenye kauli za kisiasa za
baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali ili
kuonyesha kuwa CHADEMA ilisababisha mlipuko huo yenyewe kwa ajili ya
kuwahadaa wafuasi na kujitafutia umaarufu.
Hata hivyo,
mbinu hiyo ya kutaka kuwasakama baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA
inadaiwa kufifishwa na tamko la Mbowe pamoja na mbunge wa Arusha Mjini,
Godbless Lema, kwamba chama kina ushahidi unaoonyesha kuwa tukio hilo
lilifanywa na polisi.
“Hapa kuna
mkanganyiko hasa baada ya Mbowe kudai wanao ushahidi wa video ya tukio
hilo. Wakubwa wetu wamegawanyika na kujikuta wakitoa kauli za kukinzana
maana wanahofia wakiwafungulia kesi watu wengine mashtaka halafu CHADEMA
ikaonyesha ushahidi tofauti itakuwa ni aibu,” kilisema chanzo chetu.
MAJINA YA WALIOKIDHI VIGEZO, TANGAZO LA KAZI LA TAREHE 26 MACHI, 2013
Waombaji waliokuwa wametuma maombi ya fursa za
ajira kwa ajili ya tangazo la kazi lililokuwa limetolewa na Sekretarieti
ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri mbalimbali nchini
mnamo tarehe 26 Machi, 2013 katika lugha ya Kiswahili ambapo mwisho wa
kutuma maombi ilikuwa tarehe 9 Aprili, 2013 wametakiwa kutembelea tovuti
ya Sekretarieti ya Ajira ili kuweza kuona majina yao kwa wale ambao
watakuwa wamekidhi vigezo ili waweze kujiandaa kwa usaili.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Bw. Xavier Daudi amesema hayo leo alipokuwa akiongea na baadhi ya wadau waliomtembelea ofisini kwake wakitaka ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu mchakato wa Ajira Serikalini, pia wakitaka kujua ni lini majina ya waliokidhi vigezo kwa tangazo hilo yatatolewa.
“Najua tumeshatoa matangazo kadhaa hivi sasa yanayohusu fursa za ajira zilizopo ila ningependa nitolee ufafanuzi wa tangazo la tarehe 26 Machi, 2013 kuwa Waombaji wote waliokuwa wamewasilisha maombi kwa tangazo hilo watembelee tovuti ya Sekretarieti ya Ajira maana majina yameshatolewa kwa wale waliokidhi vigezo vya msingi. Ila kwa wale ambao hawataona majina yao wajue hawakuwa na sifa kulingana na vigezo vilivyokuwa vikihitajika katika nafasi hizo,” alisema Daudi.

Thursday, July 25, 2013
YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA HUSSEIN JAVU.
Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa mshambuliaji Hussein Javu kutoka timu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani - Morogoro ambapo mchezaji huyo leo ameanza mazoezi katika uwanja wa shule ya sekondari Loyola Mabibo jijini Dar es salaam.
Hussein Javu amesajili Young Africans kwa mkataba wa miaka miwili ambapo atavaa jezi za watoto wa Jangwani mpaka mwishoni mwa msimu wa 2014/2015.
Usajili wa Javu unafikisha idadi ya washambuliaji sita mpaka sasa wakiwemo Didier Kavumbagu, Jerson Tegete, Said Bahanuzi, Shaban Kondo (mpya - Msumbiji) na Realintus Lusajo (mpya kutoka Machava FC - Moshi).
Kikosi cha Mholanzi Ernie Brandts kinaendelea na mazoezi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom unaotarajiwa kuanza agosti 24 kwa kufungua dimba na timu ya Ashanti United iliyopanda msimu huu.
Agosti 17-2013 Young Africans itacheza mchezo wa Ngao ya Hisani na timu ya Azam FC katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa pazia la Ligi Kuu kwa msimu wa 2013/2014.
Mpaka sasa klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji saba (7) wapya ambao ni:
1. Deogratius Munishi 'Dida' - Huru Azam FC (Golikipa)
2.Rajab Zahir - Huru Mtibwa Sugar (Mlinzi wa kati)
3.Hamis Thabit - Huru Ureno (Kiungo)
4.Shaban Kondo - Huru Msumbuji (Mshambuliaji)
5.Mrisho Ngassa - Huru Azam FC (Kiungo mshambuliaji)
6.Reanlintus Lusajo - Huru Machava FC (mshambuliaji)
7. Hussein Javu - Mtibwa Sugar (mshambuliaji)
Kikosi kinaendelea na mazoezi katika uwanja wa shule ya sekondari Loyola kila siku saa 2 asubuhi na wachezaji waliopo katika timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) wanatarajiwa kuungana na wenzao katika mazoezi siku ya jumatatu.
YANGA AFRICANS KINARA WA VIKOMBE VYA LIGI KUU TANZANIA BARA, SIMBA YAFUATIA TANGU 1965.
Timu ya Dar Young Africans ya Jijini Dar es salaam ni vinara wa kuchukua vikombe vya ligi kuu ya Tanzania bara tangu ianzishwe mnamo mwaka 1965 ikiwa itwaa kombe hilo mara 24 ikifuatiwa na Simba Sport club ambayo imeshatwaa taji hilo mara 18. Timu nyingine ambazo zimetwaa taji hilo ni Mtibwa Sugar ambayo imeshatwaa taji hilo mara 2, Cosmopolitan mara 1, Mseto mara 1, Pan Africans mara 1, Tukuyu mara 1 na Coastal Union mara 1.
Simba sport club ndo ilikuwa ya kwanza kulichukua kombe hilo lilipoanzishwa mwaka 1965 wakati huo ikijulikana kama Sunderland.
Na hii hapa chini ni orodha nzima ya namna vikombe hivyo vilivyokuwa vikichukuliwa:-

- 1965 Sunderland (Now Simba SC)
- 1966 Sunderland
- 1967 Cosmopolitan
- 1968 Young Africans
- 1969 Young Africans
- 1970 Young Africans
- 1971 Young Africans
- 1972 Young Africans
- 1973 Simba SC
- 1974 Young Africans
- 1975 Mseto SC
- 1976 Simba SC
- 1977 Simba SC
- 1978 Simba SC
- 1979 Simba SC
- 1980 Simba SC
- 1981 Young Africans
- 1982 Pan Africans
- 1983 Young Africans
- 1984 Simba SC
- 1985 Young Africans
- 1986 Tukuyu Stars
- 1987 Young Africans
- 1988 Coastal Union
- 1989 Young Africans
- 1990 Simba SC
- 1991 Young Africans
- 1992 Young Africans
- 1993 Young Africans
- 1994 Simba SC
- 1995 Simba SC
- 1996 Young Africans
- 1997 Young Africans
- 1998 Young Africans
- 1999 Mtibwa Sugar
- 2000 Mtibwa Sugar
- 2001 Simba SC
- 2002 Young Africans
- 2003 Simba SC
- 2004 Simba SC
- 2005 Young Africans
- 2006 Young Africans
- 2007 Simba SC
- 2007/08 Young Africans
- 2008/09 Young Africans
- 2009/2010 Simba SC
- 2010/2011 Young Africans
- 2011/2012 Simba SC
- 2012/2013
Young Africans
Wednesday, July 24, 2013
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI, CHANGAMOTO ZA MAENDELEO NA UKUAJI WA MIJI BARANI AFRIKA, JIJINI ARUSHA
Profesa Rwekaza Mukangara, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo. |
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi. |
Subscribe to:
Posts (Atom)