Prof.Jummanne Mghembe- Waziri wa Maji akiingia katika Ofisi za MORUWASA. |
Prof.Maghembe akiwa katika viwanja vya MORUWASA |
Prof.Maghembe akiwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro wakisikiliza taarifa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa MORUWASA. |
Mkurugenzi Mtendaji wa MORUWASA Ndg.John K. Mtaita akimsomea taarifa Waziri wa Maji katika Ofisi za MORUWASA. |
Prof. Maghembe akiongea na Wafanyakazi wa MORUWASA |
Prof.Maghembe akiwa Bwawani Mindu ambalo ni chanzo kikuu cha maji kwa wakazi wa Manispaa ya Morogoro kwa Zaidi ya asilimia 70. |
Bwawa la Mindu likiwa limepungua maji kwa kiasi kikubwa kiasi cha wakazi wa Morogoro kupata maji kwa mgao. |
Prof.Maghembe akiwa katika kituo cha kutibia maji cha Mafiga na kupokea taarifa kutoka kwa Meneja ufundi wa MORUWASA Eng. Halima Mbiru |
Prof.Maghembe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalam Mshauri wa Kampuni ya Nichoraus O'Duaye wanaosimamia ukarabati wa miundimbinu ya maji ya MORUWASA chini ya mradi wa MCA-T |
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akiwa katika chanzo cha maji cha Mambogo. |
Prof. Maghembe akikagua ukarabati unaoendelea katika chanzo cha Mambogo |
Tenki la Maji jipya lililojengwa katika kituo cha mambogo kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa Kilakala, Forest na Kigurunyembe. |
Waziri wa maji akizindua mradi wa maji wa Kiegeya "A" |
Mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya Morogoro Ndg. Javis Simbeye akitoa taarifa kwa Waziri wa maji kuhusu mradi wa Maji wa Kiegeya "A" |
Prof. Maghembe akitoa maelekezo kwa kamati ya maji ya mradi wa Kiegeya "A" |
Afisa wa maji Bonde la Wami/Ruvu Ndg.Praxeda Kalugendo akisikiliza maagiza ya waziri wa maji. |
Prof. Maghembe akitembelea mabwawa ya majitaka ya viwanda yaliyokuwa chini ya TLAI |
Prof.maghembe akiwa katika Mabwa ya majitaka ya Mafisa yanayomilikiwa na MORUWASA yanayotibu na kusafisha majitaka yote ya Manispaa ya Morogoro. |
Mkurugenzi wa MORUWASA akimueleza waziri jinsi mabwawa ya majitaka yanavyofanya kazi. |
Waziri wa maji akiwa Mabwawa ya majitaka ya Mafisa. |
No comments:
Post a Comment