Thursday, October 24, 2013

HABARI KWA UFUPI- MTU 1 AFA OCD AJERUHIWA TANGA, MOTO WAUNGUZA KIWANDA CHA OK DAR.

MOTO DAR:
Moto mkubwa wazuka dar kwenye kiwanda cha OK Plastics kilichoko Vingunguti na mali za mamilioni zahofiwa kuteketea.

KUTOKA TANGA:
Mtu mmoja (1) amefariki dunia na OCD Wilaya ya Kilindi amejeruhiwa kwa risasi usiku wa kuaqmkia leo, wakati polisi walipokuwa wanapambana na watu wanaofanya mazoezi ya kijeshi msitu ni.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...