Monday, October 7, 2013

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IMETANGAZA KUKUSANYA MAREJESHO YA MIKOPO KUPITIA M-PESA.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Ndg. Asangye Bangu . Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na kulia ni Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo wa Bodi Juma Chagonja
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB) imetangaza kuanza kutumia huduma ya M-PESA kukusanya marejesho ya mikopo kwa wanufaika wa bodi hiyo.
 Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Ndg.Asangye Bangu wakati akiongea na waandishi wa habari hii leo. 

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...