Thursday, July 18, 2013

MAJINA 4,047 YA WATUMISHI WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI WIZARA YA AFYA 2013.

S/NEMPLOYEE NAMEGENDERADDRESSJOBEMPLOYMENT CENTER
1ANASTAZIA MASANJA
S L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA
2GWAARUDA G GIDASAIDAMS L P 56 MUHEZAWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA PANGANI
3ADELINE MICHAEL CHAMIFS.L.P2240 MOSHIMAAFISA WAFIZIOTHERAPIAKATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
4CATHERINE GEMBAFS.L.P 6180 MBEYATABIBU MENOMKURUGENZI WA MANISPAA MOROGORO
5DR. KIONDO S KIONDOFSLP 14457 DSMMADAKTARIMKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE
6GLORIA SIMBAFS.L.P 42 MAKETETABIBU MENOMKURUGENZI HALIMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO TC
7GRACE FELIX CHAULAFS.L.P 655 IRINGATABIBU MENODED KILOLO
8HAPPINESS C. MANJIRAFS.L.P 3290 ARUSHAMAAFISA WAFIZIOTHERAPIAMKURUGENZI WA MAMNISPAA YA ARUSHA
9HURUMA A. MAHENGEFS.L.P 44 S'WANGATABIBU MENOMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA KILOLO
10KIMSHEW YIP LIMFS.L.P 2000 DSMTABIBU MENOMKURUGENZI WA MANISPAA MOROGORO
11LAURENCIA WANKYOFS.L.P DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
12MWAJABU MSHANAFS L P 9071, DAR ES SALAAMMAKATIBU WA AFYAKATIBU TAWALA WA MKOA WA RUVUMA
13OTIMONG HAWAFS.L.P. 4704, DAR ES SALAAMWATEKNOLOJIA MACHOKATIBU TAWALA MKOA WA SIMIYU
14REHEMA PHILLP TILYAFS.L.P 913 DODOMATABIBU MENOMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA MPWAPWA
15SARAH H. MKENDAFS.L.P 3010 MOSHIMAAFISA WAFIZIOTHERAPIAKATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
16SEKELA SHABAN MMBELOFS.L.P 18145 DSMTABIBU MENOMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA NZEGA
17SR. HELEN G.SULLEFS.L.P. 66, KARATUMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KARATU
18TULAHIGWA K. RODENIFS.L.P 70 MBOZIMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IITACAIDS
19UPENDO MWALUSAMBAFS.L.P.1046, MBEYAWATEKNOLOJIA MACHOMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MUFINDI
20WINFRIDA TIBAKYAFS.L.P104467 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI WA MANISPAA YA MOSHI
21YUSTA L. MAHENGEFS.L.P 61 MAKETETABIBU MENOKATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
22BATULI ISMAIL MITUROKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA RUFIJI
23DAWIA YAHAYA MANDIAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO
24ESTHER K KALONGOKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MPWAPWA
25EVA JOHNKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KAHAMA
26HAPYANA A KALALUKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA CHAMWINO
27JOAN IRENE MAKAMBAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MVOMERO
28LILIAN JOSEPH MBONDEKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA PANGANI
29MWASI SAMWELKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MISSUNGWI
30ROIDA M MSANGAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA NANYUMBU
31ROSE E NOMBOKES.L.P 9083 DSMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA RUVUMA
32VERDIANA B MPACHAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA MTWARA
33ABELLA FELICIANKES.L.P 2407 MBEYAWATEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II (PHARMACEUTICAL TECMKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
34ABIJELY AMOS YORAM KESLP 1249, DODOMA. WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAHI
35ADELA ABEL MWAKANYAMALEKES.L.P 2952 DSMMAAFISA WAUGUZIKATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA
36ADELA BUNDALA NKANDALAKES.L.P 1 NKINGAMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA NZEGA
37ADELHARIDA C. CHENGULAKES L P 10, USHIROMBO-BUKOMBEMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA BUKOMBE
38ADELINA E. KIPARAKES.L.P.09, MPANDAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI WA MPANDA
39ADELINA ADAM SANGAKE
MAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA GEITA
40ADELINA VENDELINEKES L P 318 MAKAMBKOWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
41ADELINA WILLIAMKES.L.P.38, MWANZAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUHIGWE
42ADELINE ROBERT SARAKIKYAKES L P 2202,MOSHIMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIKATIBU TAWALA MKOA WA MANYARA
43ADELLA BUDIMUKES.L.P 42 LOLIONDOMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MEATU
44ADELMACRE R MOLLAKES L P 286, HIMO-MOSHIWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILEMELA
45ADELPHINA P. MROSSOKES L P 25016, DAR ES SALAAMMAAFISA WAUGUZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KISARAWE
46ADIA A HAMISIKES L P 276, KARATUMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI WA MANISPAA YA ARUSHA
47ADIA FELIXKEC/O ANTHONY MUGALULA, S.L.P 500 MWANZAMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MANISPAA YA ILEMELA
48ADILI E. MUNUOKES.L.P 3010 MOSHIMAAFISA WAUGUZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MAKAMBAKO
49ADNESSIA J. JULIUS KESLP 139, MUGUMU-SERENGETI.WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA URAMBO
50ADOLFINA SAMWELKES.L.P KIGOMAWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA IGUNGA
51ADONETH NAHUMUKEC/O A. A. KAPANDILA, S.L.P 62 NKASIWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUHIGWE
52ADRIANA M. WILLIA (SR)KERUBYA HOSPITAL TEULE, MULEBA-KAGERA. WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUKOBA
53ADROFINA N. BILIKIYEKES.L.P. 42, KASULU KIGOMAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MBOGWE
54ADVENTINA NGAMBAKUBIKES.L.P. 118, SENGEREMAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA SENGEREMA
55ADVERA W. NGALLOKEC/O MRS. SOPHIA A. UISSO SLP 3010 KCMC MOSHITABIBUMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA SIHA
56AGALA L KAVAIKES L P 50, CHATOMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA CHATO
57AGATHA C. GEKAKES.L.P. 740, IRINGAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA IRINGA
58AGATHA CHOTTAKESLP 1WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA
59AGATHA FUNGOKES.L.P 121 MAKETEWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KILOMBERO
60AGATHA H. LIHANDAKEMUCCOBSMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IICHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI
61AGATHA HYERAKEC/O NONOSIUS KOMBA, SLP 11, MBINGA.WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MASASI
62AGATHA LIHANDAKEC/O KULWA MMBWAMBO, S.L P 40 TABORAMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA ULYANKULU
63AGATHA MASHAURIKES.L.P 100 MISUNGWIWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAHI
64AGATHA MSANJILAKES.L.P 11072 ARUSHAMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MONDULI
65AGATHA MTHAPULAKEC/O MATHEW KIRAMA, S.L.P 2483 DSMWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA GEITA
66AGATHA NOBERTKES.L.P45043 DSMMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA PANGANI
67AGATHA R. KUYAKESLP 6406, MWANZA.TABIBUMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA SAME
68AGATHA SANGAKES.L.P 179 CHUNYAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA CHUNYA
69AGATHE LURENT MIHURUKES L P 3, NDANDA - MASASIMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA RUANGWA
70AGNEA S. KILAPILOKES.L.P 28 UTETE RUFIJITABIBU WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA IRINGA
71AGNES B. POLLARKES.L.P 84 KYELAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA
72AGNES D. KAPONDAKES.L.P 351 S'WANGAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KALAMBO
73AGNES D. MKANEKES.L.P 1871 DODOMAMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA ULYANKULU
74AGNES E. MWANACHEKES.L.P 246 NANYUMBUMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA NANYUMBU
75AGNES ELIASKES.L.P 385 SONGEAWATEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II (PHARMACEUTICAL TECKATIBU TAWALA MKOA WA SIMIYU
76AGNES GASPAR NGUVUMALIKES L P 369, LINDITABIBU WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MISUNGWI
77AGNES HAMISKES LP 6443,MBEYAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA RUNGWE
78AGNES J. NKUNGAKES.L.P.211, MWANZAWAFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACISTS GRADE II)KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
79AGNES JONASKES.L.P. 131, KONDOAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA CHAMWINO
80AGNES K DISMASKES.L.P25 MEATUTABIBU WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA UKEREWE
81AGNES LUKUWIKES.L.P.42, NJOMBEWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KILOLO
82AGNES MAHANGAKES L P 264, KASULUMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA BUHIGWE
83AGNES MBUNDAKES.L.P 42 MBINGAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZIHALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO
84AGNES MWAKIMONGAKES.L.P 1377 TANGAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA MUHEZA
85AGNES N. KINUNDAKEC/O DAUDI MSUKU, S L P 455, MBINGAMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MBINGA
86AGNES NEHEMIAKESLP 16 KASULUWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUHIGWE
87AGNES PETRO KABULULUKES.L.P 72085 DSMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA
88AGNES R CHISAYEKES L P 43, MANYONIMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MANYONI
89AGNES SALVATORY KILAPILOKES.L.P 28 RUFIJITABIBU WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA RUFIJI
90AGNES TAMBAKES.L.P 447 S'WANGAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KALAMBO
91AGNES WILLIAMKES.L.P 71 KASULUWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KAKONKO
92AGNESS G JACKSONKEC/O DR. JOEL, S L P 32880, DAR ES SALAAMMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA CHUNYA
93AGNESS G KIHIYOKES L P 5088, MUHEZA-TANGAWATEKNOLOJIA MAABARA WASAIDIZIMKURUGENZI WA JIJI TANGA
94AGNESS LEONARDKEC/O ERNEST K. LEONARD S.L.P 574 KYERWA KARAGWEMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MISSENYI
95AGNESS MGONGOLWAKES.L.P. 66, NJOMBEMAAFISA WAUGUZI WASAIDIZI DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA NAMTUMBO
96AGNESS P. KOMBAKES.L.P 204 S'WANGAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA
97AGNESS S. NJEEKESLP 70 MBOZI-MBEYA. WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII (MBE
98AGRIPINA GERVACE MSHIKIKESLP 2258, MOSHI. WAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA HAI
99AGRIPINA M. MBOYAKES.L.P 67175 DSMWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA HANDENI
100AGRIPINA W. WILLIAMKES.L.P 493 MWANZAWAUGUZI DARAJA LA II (NURSE GRADE II)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KONGWA

SHULE ZA UMMA ZAFUNGWA NCHINI KENYA.

Wanafunzi nchini Kenya wakiwa darasani.
Serikali nchini Kenya imetangaza kufungwa kwa shule zote za msingi za umma kufuatia huku walimu wa shule za umma za msingi na sekondari wakisitisha mgomo wao baada ya serikali kutangaza uamuzi huo.
Waziri wa elimu prof Profesa Jacob Kaimenyi amesema kuwa shule hizo zitabakia kufungwa kwa muda usiojulikana. Ameshutumu walimu akisema kuwa mgomo wao ulikuwa kinyume cha sheria.
Zaidi ya walimu laki mbili na arobaini wamesusia kutoa mafunzo kwa wanafunzi wakidai nyongeza ya asili mia mia tano ya mishahara waliyoahidiwa na serikali mwaka wa 2007.
Pia wanataka kuongezewa marupurupu ya usafiri, ya nyumba na matibabu. Serikali imesema kuwa wazazi wataarifiwa juu ya siku ya kufunguliwa tena shule.
Waziri huyo wa elimu amesema kuwa wizara yake itafanya mipango maalum kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la nane wanaotarajiwa kufanya mtihani wao wa kitaifa chini ya miezi minne ijayo.

Source: BBC

HAPPY BIRTH DAY NELSON MANDELA (18,JULAI), ATIMIZA MIAKA 95 YA KUZALIWA..


Rais mtaafu wa Afrika Kusini Nelson Rolihlahla Mandela alizaliwa tarehe 18, Julai 1918 huko Mvezo Afrika Kusini na hii leo anatimiza umri wa miaka 95. Katika maisha yake ameweza kuoa wake watatu mpaka sasa wa kwanza ni Evelyn Ntoko Mase (1944–1957), wa pili ni Winnie Madikizela (1958–1996) na wa mwisho na ambaye anaendelea kuishi naye mpaka sasa ni Graça Machel (1998–present).

Uzazi wa Mzee Mandela ni wa watoto Madiba Thembekile,Makgatho Lewanika, Makaziwe, Maki,Zenani na Zindziswa.
Leo Afrika Kusini wanasherehekea kuzaliwa kwa Mandela na kutimiza umri wa miaka 95 ya kuzaliwa. Katika hatua nyingine Rais Obama wa M&arekani amemtumia salamu za pongezi na ameitaka dunia kuheshimu mchango wake.
Mzee Mandela  amekuwa Rais wa Afrika Kusini tangu 10, Mei 1994 – 14, Juni 1999 na ndiye Rais wa kwanza wa Asili ya Kiafrika kuongoza Afrika Kusini.
Kwa sasa Mzee Mandela bado amelazwa katika hospitali akiendelea na matibabu.

Na hii hapa ndiyo taarifa kamili ya Mandela.
Personal details
Born Rolihlahla Mandela
(1918-07-18) 18 July 1918 (age 94)
Mvezo, South Africa
Nationality South African
Political party African National Congress
Spouse(s) Evelyn Ntoko Mase (1944–1957)
Winnie Madikizela (1958–1996)
Graça Machel (1998–present)
Children Madiba Thembekile
Makgatho Lewanika
Makaziwe
Maki
Zenani
Zindziswa
Josina Z. Machel (step daughter)
Malengani Machel (step son)
Residence Houghton Estate, Johannesburg, Gauteng, South Africa
Alma mater University of Fort Hare
University of London External System
University of South Africa
University of the Witwatersrand
Religion Christianity (Methodism)
Signature Signature of 
Nelson Mandela
Website www.nelsonmandela.org

Wednesday, July 17, 2013

HABARI KWA UFUPI KUTOKA ARUSHA, MAREKANI NA INDIA.

Mtuhumiwa wa Tindikali:
Polisi jijini Arusha wamemkamata mtu mmoja kwa tuhuma za kumshambulia kwa kummwagia tindikali Sheikh wa Arumeru, Said Juma M&akamba.

Barclays Hatiani:
Benki ya Kimataifa ya Barclays  imepigwa faini ya Dola M&ilioni 435 huko M&arekani kwa kufanya hila na kupanga bei isivyo halali katika soko la umeme.

Chakula chaua 20:
Watoto 20 wamekufa baada ya kula chakula cha mchana kinachosadikiwa kuwa na sumu wakiwa shuleni nchini India, na wengine 28 wako hospitalini.


JOB VACANCIES - UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
VACANCIES
The University of Dar es salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts
1. (a) Job Title: Janitor II (5 posts)

(b) Qualifications and Experience.
Applicants should possess the following academic and professional qualifications.
· Diploma in Education or Home Economics or equivalent qualification preferably with past experience in related field.

(c) Main Duties:
· Assists in supervising hall attendants.
· Assists in enforcing students’ rules and regulations.
· Assists in keeping and maintaining proper residence records
· Assists in ensuring security in and around halls of residence.
· Performs any other duties as he/she may be assigned by his/her Supervisor.

2. (a) Job Title: Teacher II (10 posts)

(b) Qualifications and Experience.
Applicants should possess the following academic and professional qualifications.
· Form IV Certificate plus Grade IIIA Teacher’s Certificate.
· At least four (4) years relevant working experience

(c) Main Duties:
· Gives instructions in one’s specialized content subjects.
· Prepares plan of work, course preparation, teaching aids pupil exercise, tests and examination.
· Marks pupils’ progress.
· Provides progress reports to the school management.
· Prepares and keeps progress reports of each pupil.
· Participate in the school’s duty roster.
· Takes care of the pupils’ welfare in and outside the classroom.
· Performs any other duties as may be assigned by his/her supervisor.

3. (a) Job Title: Professor, Associate Professor, Senior Lecturer, Lecturer, Assistant Lecturer & Tutorial Assistant
 
COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY
Department of Mechanical and Industrial Engineering
· Professor (Textile Engineering & Design Technology) - 1 post

KAULI YA ZITTO KABWE ASUBUHI YA LEO.

CHADEMA na NCCR-M tuna jumla ya madiwani 13 katika halmashauri ya Wilaya Uvinza. Ni mamlaka mpya inaanza tarehe 20 Julai, 2013. CCM ina madiwani 8 tu, hivyo a clear majority kwa upinzani. CHADEMA ina madiwani 7, NCCR-M 5 + Mbunge 1.
Leo sekretariat za vyama vyetu zinakaa kuamua chama gani kati ya CHADEMA na NCCR-M kitoe Mwenyekiti, makamu na wenyeviti wa Kamati. Nimewaambia madiwani wetu kwamba Ni lazima kuhakikisha Halmashauri hii inaongozwa na Upinzani. Tukiendekeza tamaa zetu za kisiasa CCM watapita katikati yetu. CCM wakichukua Halmashauri ya Uvinza yenye madiwani wengi wa upinzani itakuwa Ni usaliti mkubwa Kwa wananchi. Nimewasihi viongozi wa vyama vyote 2 kuwa na hekima na kuzingatia matakwa ya wananchi waliotoa ridhaa mwaka 2010 na hivyo CHADEMA na NCCR-M kuongoza Halmashauri ya Wilaya Uvinza. Ni jaribio la demokrasia, Hekima na Maamuzi.
Source: Zitto Kabwe Social media.

International Student Scholarships at Penn State University in USA, 2014.


Penn State University offers International Student Scholarships to international first-year students who are enrolled full-time at Penn State University’s Greater Allegheny campus. This award is offered on a competitive basis to international first-year students who complete applications by January 30, 2014. Transfer students are not eligible for this award. This scholarship will help defray the costs of the full-time, out-of-state tuition for international students. Fifteen students will be selected to receive $2,000 their first year.  The application deadline is January 30, 2014.
Study Subject (s): Scholarships are provided to learn any of the courses offered by the Penn State University.
Course Level: Scholarships are available for pursuing graduate degree level at Penn State University, USA.
Scholarship Provider: Penn State University, USA
Scholarship can be taken at: USA
Eligibility: This award is offered on a competitive basis to international first-year students who complete applications by January 30, 2014. Transfer students are not eligible for this award.

Tuesday, July 16, 2013

Breaking News: MSAFARA WA WAZIRI MKUU PINDA WAPATA AJALI MKOANI RUVUMA.


Msafara wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda umepata ajali Mkoani  Ruvuma mchana wa leo.Katika ajali hiyo  mwandishi wa habari mmoja, Afisa kilimo wa mkoa wa Ruvuma wajeruhiwa na magari manne (4) yaharibika .
Msafara ulikuwa ukienda Namtumbo toka Tunduru. Ajali ilitokana na vumbi kuzuia madereva wasione mbele, ilihusisha gari za polisi, Wizara ya Afya.

Na kutoka huko Darfur, hali ya mmoja kati ya majeruhi 14 wa shambulizi dhidi ya vikosi vya JWTZ Darfur yazidi kuwa mbaya, apelekwa Khartoum kwa tiba zaidi, lakini wengine wanaripotiwa kuwa nafuu.

Scholarships for International Students in Italy, 2014/15


Each year, Max Weber Programme (MWP) offers 1 and 2 year international fellowships in the social sciences and humanities. The Max Weber Programme (MWP) is a postdoctoral training programme for junior post-docs who want to advance in their research and academic training. 40-45 Max Weber fellowships are awarded annually. The Max Weber programme is hosted by European University Institute in Florence and also involve additional academic activities in the EUI departments. The deadline for applications is 25 October 2013 for the academic year 2014/2015.
Study Subject (s): Fellowships are awarded in the social sciences and humanities.
Course Level: The Max Weber Programme (MWP) is a postdoctoral training programme for junior post-docs who want to advance in their research and academic training at the European University Institute in Florence.
Scholarship Provider: European Commission (DG Education and Culture)
Scholarship can be taken at: Italy (The Max Weber Programme is hosted in the beautiful Villa La Fonte and involves additional academic activities in the EUI departments)
Eligibility:
-
Candidates who have received their PhD or officially been accepted for defense by the time of the start of the programme (1 September).
-Candidates are eligible during the five-year period following the successful completion of their Ph.D. For example, to apply for 2014/2015 you should have received or submitted your Ph.D. betweeen 1/9/2009 and 1/9/2014 and the Ph.D. defense should take place no later than 31/12/2014.
-Extensions to the five-year rule are allowed for applicants whose academic career has been interrupted for maternity leave, illness or mandatory military service. Cite circumstances in the application in the field ‘Additional Notes’. Successful candidates will be asked to provide supporting documents.
-EUI graduates can only apply for Max Weber Fellowships after having been away from the EUI and in a full-time occupation or with another fellowship for at least one year after defending their Ph.D.
-Candidates of all nationalities are eligible for the Max Weber Fellowships.

Monday, July 15, 2013

TAARIFA NA MATOKEO KAMILI UCHAGUZI WA ARUSHA HII HAPA.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), `kimefunika' katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika kwenye kata nne za Jimbo la Arusha Mjini uliofanyika jana.
Matokeo katika vituo mbalimbali vya kata hizo nne ambayo kwa mujibu wa   Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), yalionyesha Chadema ikiongoza kwa idadi kubwa ya kura zilizopigwa kwenye vituo 136 vya kupigia kura huku kikifuatiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Matokeo kamili katika vituo hivyo yalikuwa kama ifuatavyo:-

KATA YA KALOLENI:

Matokeo ya jumla Chadema 1,470, CCM 530, CUF 275 na Demokrasia Makini 2,  Kwa matokeo hayo Emmanuel Kessy wa Chadema alitangazwa mshindi.
Kituo kidogo A, Chadema kilikuwa kimenyakua kura 51, CCM 25 na CUF 11.
Kituo B1, Chadema 68, CCM 19 na CUF 17 huku katika kituo A4, Chadema kilipata kura 67, CCM 20 na CUF 9, Kituo A3 Chadema kura 57, CCM 25 na CUF 7.
Katika kituo cha B4, Chadema kura 54, CCM 30 na CUF 9, B3 Chadema 54, CCM 15 na CUF 9, wakati B2 Chadema kilipata kura 73, CCM 9 na CUF 4 na kituo A2, Chadema 69, CCM 21 na CUF 8.
Kituo cha A1, Chadema kura 60, CCM 15 na CUF 11 na B6 Chadema kura 41, CCM 21 na CUF kura 9.

Katika kituo cha B5, Chadema kilipata kura 50, CCM 22 na CUF 10.
Katika kituo cha AICC Nursery School, kituo kidogo cha A2 Chadema kura 58, CCM 18 na CUF 17, A4 Chadema kura 62, CCM 22 na CUF 6, A3 Chadema 44, CCM 22 na CUF 5, E2 Chadema 58, CCM 22 na CUF 4, E3 Chadema 53, CCM 20 na CUF 5.

Aidha, katika kituo cha E4 Chadema 40, CCM 20 na CUF 5, B1 Chadema 57, CCM 18 na CUF 9, A1 Chadema 60, CCM 24 na CUF 5.

Kituo cha Shule ya Sekondari Kaloleli, A1,Chadema 52, CCM 17, CUF 15 huku katika kituo cha A2, Chadema kura 97, CCM  23,  CUF 19 na kituo A3, Chadema 46, CCM 20 na CUF 20.

Kituo cha A4 Chadema 46, CCM, 16, CUF 16, kituo B1 Chadema 56, CCM 10, CUF 16 na kituo B2 Chadema 42, CCM 23 na CUF 15.
Kituo B3, Chadema 53, CCM 17  na CUF 11, kituo B4 Chadema 38 CCM 16 na CUF 13

KATA YA ELERAI

Katika Kituo cha Shule ya  Sekondari Kata ya Elerai, Ofisi ya Katibu Tarafa, pia Chadema kimeendelea kuongoza katika matokeo ya awali.
Matokeo ya jumla Chadema kura 2,047, CCM 1,471, CUF 302, CCK 3, na TLP 1. Mshindi ni Mhandisi Jeremiah Mpinga wa Chadema.

Kituo A1, Chadema kura 37, CCM 17, CUF 3, TLP na CCK 0. Kituo A2, Chadema kilipata kura 28, CCM 13, CUF 2, CCK na TLP 0.

Kituo A3, Chadema kura 31, CCM 19, CUF 2, CCK na TLP 0 huku katika kituo A4 , Chadema 21, CCM 12, CUF 6 , TLP na CCK 0.

Vituo vingine katika kata hiyo ni pamoja na B1 ambacho Chadema waliongoza kwa kura 42, CCM 15, CCK na TLP 0 huku katika kituo C1, Chadema 42, CCM 15, CCK na TLP 0.
Kwa upande wa kituo cha C2, CCK 0, CCM 12, Chadema 35, CUF 3 na TLP 0, Kituo kingine cha Katibu Tarafa Ofisi, CCM kilipata kura 26, Chadema 25 na CUF huku cha B1 Chadema wakijipatia kura 43, CCM 23, CUF 5.

 Kituo B2, Chadema 34, CCM 24, CUF na TLP 0, kituo B3  CCM kura 26, Chadema 32, CUF 3, kituo cha Shule ya Msingi Burka B2, CCM ilinyakua kura 31, Chadema 30, CUF 2 na kituo B3, CCM ikipata kura 41, Chadema 43, CUF 5 wakati CCK na TLP wakiambulia patupu.

Aidha katika kituo hicho cha Shule ya Msingi Burka,B4 CCM ilipata 32, Chadema 28, CUF 3, TLP na CCK 0, vituo vya C1, CCM kura 26, Chadema 43, CUF 5 na kile cha C2, CCK 0, CCM 31, Chadema 43, CUF 7 na TLP 0.

KATA YA KIMANDOLU

Katika Kata ya Kimandolu kwenye kituo Shule ya Msingi Suye, CCM na Chadema ndivyo pekee vilisimamisha wagombea.

Katika kituo cha A1, CCM ilipata kura 15, Chadema 47, A2  CCM 24, Chadema 39, kituo A3 CCM 14, Chadema 35,  kituo B1 CCM 25, Chadema 56,  kituo B2 CCM 25, Chadema 48, kituo C2 CCM 30, Chadema 39 na kituo C1 CCM 11, Chadema 48.

Kituo cha ofisi ya Kata ya  Kimandolu, kituo A1 Chadema ilipata kura 97, CCM 22,  kituo A2  Chadema 88, CCM 29, kituo A3 Chadema 81, CCM 31, kituo A5 Chadema 90, CCM 41, kituo A6 Chadema 87, CCM 28, kituo A7 Chadema 70, CCM 35,  kituo B1 Chadema 84, CCM 27 na kituo B2 Chadema 82, CCM 27.

Kituo B3 Chadema 78, CCM 37, kituo B4 Chadema 87, CCM 36, kituo cha B5 Chadema 69, CCM 23, kituo C1 Chadema 97, CCM 28, kituo C2 Chadema 103,CCM 21, kituo C3 Chadema 79, CCM 32, kituo C4 Chadema 84 CCM 42 na kituo C5 Chadema 87 CCM 41.

Kituo cha Shule ya Msingi Kimandolu kwenye kituo A1 CCM ilipata kura 34, Chadema 64, kituo B2 CCM 26, Chadema 66, kituo B4 CCM 37, Chadema 74, kituo A5 CCM 48, Chadema 58, kituo A3 CCM 48, Chadema 53, kituo B5 CCM 24, Chadema 65, kituo C1 CCM 27, Chadema 74, kituo C3 CCM 36, Chadema 64, kituo C5 CCM 31, Chadema 78, kituo A2 CCM 27, Chadema 87, kituo A4 CCM 33, Chadema 57, kituo B2 CCM 30, Chadema 77 na kituo C2 CCM 30,Chadema 65.

KATA YA THEMI
Katika kata hiyo iliyokuwa na vituo 12, Chadema ilinyakua jumla ya kura 674, CCM 326 na CUF 307. Waliojiandikisha walikuwa 6,387, waliopiga kura 1,319, kura halali 1,307 ambapo zilizoharibika 12, kwa mujibu wa Msimamizi wa Uchaguzi wa kata hiyo, Eveka Mboya ambaye pia alimtangaza mshindi kuwa ni Kinabo Edmund wa Chadema.

Matokeo kwa baadhi ya vituo yalionyesha kuwa katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa  Kata ya Themi, CCM  9, Chadema 36, CUF 0, kituo A2 CCM kura 13, CUF 3 na Chadema 23, kituo cha A3 , Chadema 33, CCM 16, CUF 2 na katika kituo A1, CCM ikijipatia kura  44, CUF 1, Chadema 53.
Katika kituo A2, CCM 29, Chadema 57 na CUF 4 huku kile cha A3 CCM ikijipatia kura 23, Chadema 44 na CUF kikiambulia 0.

Kata ya Themi ilikuwa na vituo 12 ambapo hadi tunakwenda mitamboni matokeo ya vituo sita yalikuwa yamepatikana huku matokeo ya vituo vingine yakiendelea kuhesabiwa.


LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...