Friday, May 2, 2014

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, MAREKEBISHO YA RATIBA KWA KADA ZA TAASISI YA TANZANIA INDUSTRIAL RESEARCH AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (TIRDO).

Kutokana na sababu zisizozuilika Wasailiwa wa nafasi za kazi kwa Kada za Taasisi ya TIRDO(SENIOR HUMAN  RESOURCES OFFICER I na ASSISTANT  RESARCH OFFICER I) watafanya Usaili wa mchujo tarehe 7/5/2014 na Usaili wa Mahojiano tarehe 8/5/2014.
Hivyo basi wasailiwa kwa Kada hizo mnaombwa kuzingatia mabadiliko hayo,masharti mengine ya Tangazo la awali yanabaki kama yalivyo.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. 

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...