Wednesday, February 27, 2013

BREAKING NEWS: KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO CHAPATA SHOTI YA UMEME

Kiwanda cha nguo za michezo cha Mazava kilichopo eneo la msamvu Morogoro kimepata hitilafu ya umeme na kuwaka moto hali iliyopelekea jumla ya watu 53 kulazwa hospitali ya mkoa kutokana na mshtuko. Meneja mwajiri wa kiwanda hicho Ndg. William Deus amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na hakuna mtu yeyote aliyenaswa na umeme. Habari zaidi zitawajia baadae.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...