Friday, July 19, 2013
WAETHIOPIA 20 MBARONI MKOANI PWANI.
Polisi Mkoani Pwani inawashikilia watu 20 ambao ni Raia wa Ethiopia baada ya kuwakamata jana usiku Wilayani Mkuranga wakiwa safarini kuelekea Mikoa ya Kusini.
Habari kamili endelea kutembelea blogu hii.
Habari kamili endelea kutembelea blogu hii.
TFF YATANGAZA MAJINA YA VIONGOZI WA KAMATI MBALI MBALI.
Rais wa TFF Leodgar Chilla Tenga alitangaza majina ya wajumbe wanaounda kamati za TFF jana. Walioteuliwa ni pamoja na Jaji Steven Ihema na wakili mwandamizi, Bi. Jesse Mguto walioteuliwa kuziongoza kamati muhimu za maadili za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zilizoundwa baada ya kufanyika mabadiliko kwenye katiba ya Shirikisho hilo mwishoni mwa wiki iliyopita,
Shirikisho hilo pia limemteua Jaji Bernard Luanda kuongoza Kamati ya Rufaa za Uchaguzi wakati Profesa Mgongo Fimbo ataendelea kuongoza Kamati ya Rufaa na Kamanda Mstaafu, Alfred Tibaigana akiendelea kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu.
TAMKO LA WAZIRI KIVULI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. VINCENT JOSEPHAT NYERERE (MB) KUHUSU UDHAIFU WA SERIKALI KATIKA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MADAWA YA KULEVYA NCHINI.
Ndugu
wanahabari, kwanza
kabisa napenda kuwashukuru kwa kuitikia wito wangu, ili niweze
kuzungumza na
watanzania kupitia kwenu kuhusu hatari kubwa inayolikumba taifa ya
madawa ya
kulevya.
Biashara haramu ya dawa za kulevya imekua kwa kasi sana hapa nchini miaka ya hivi karibuni licha ya kuwa na vyombo lukuki vya ulinzi na usalama na licha ya kuwa na Tume maalumu ya kudhibiti madawa ya kulevya chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, iliyosomwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera Uratibu na Bunge Mhe. Wiliam Lukuvi tarehe 26 Juni, 2013 siku ya maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita dawa za kulevya huko Dodoma ni kwamba katika kipindi cha mwaka 2008 hadi 2012 watuhumiwa 10,799 walikamatwa kwa kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya hapa nchini. Aidha, watanzania wapatao 240 walikamatwa na madawa ya kulevya katika nchi za Brazil, Pakistan na Afrika ya kusini na hivyo kutia doa taswira ya Tanzania katika jumuiya ya kimataifa. Kutokana na kukithiri kwa biashara hii haramu, Serikali kupitia maadhimisho hayo ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya duniani ilitangaza kuwa biashara ya dawa za kulevya kuwa ni janga la taifa.

University of Waikato Research Institute Scholarships for International Students in New Zealand, 2013.
The University of Waikato is inviting applications for doctoral
scholarships. The doctoral scholarships are worth $22,000 a year, plus
fees. They cover three years’ full-time study and are open to
applications for international and domestic students. Application should
be submitted till 31st July 2013.
Study Subject(s): Scholarships are provided to study within the Environmental Research Institute (seeking applicants intending to undertake research under the following themes: terrestrial ecosystems, freshwater ecosystems, coastal marine ecosystems, and Antarctic ecosystems.), Institute for Business Research (seeking applicants intending to investigate the potential for the small business sector to contribute a sustainable increase to New Zealand’s national income), National Institute of Demographic and Economic Analysis (seeking applicants intending to undertake research under their Maori and Indigenous Futures Programme and which addresses the opportunities and challenges attendant with Maori and indigenous demographic change.), Institute of Professional Learning (seeks applications from those intending to conduct research that will investigate and contribute to improved professional learning and development in early childhood centres, kura and schools in New Zealand.), Te Kotahi Research Institute (Applicants must show a link to at least one of the following themes; Economic Development and Intergenerational Sustainability, Environmental and Iwi Wellbeing, Solving Complex Social Challenges, Language and Cultural Identity, Leadership,Kaitiakitanga, Rangatiratanga) and Wilf Malcolm Institute of Educational Research.
Course Level: Scholarships are available for pursuing doctoral level at the University of Waikato in New Zealand.
Scholarship Provider: The University of Waikato, New Zealand
Scholarship can be taken at: New Zealand
Eligibility:

KUITWA KWENYE USAILI - UTUMISHI.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/D/06 18 Julai, 2013
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba Tanzania Investment Centre (TIC), anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili. Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/D/06 18 Julai, 2013
KUITWA KWENYE USAILI
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 kabla ya muda wa mtihani wa mchujo kuanza.
2. Kwa wale wasiokuwa na mtihani wa mchujo usaili utaanza saa mbili (2:00) asubuhi na utafanyika katika mahali na tarehe kama inavyoonyesha katika nafasi husika.
3. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k
4. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.
5. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
8. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
9. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
10. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
11. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.
MWAJIRI: TANZANIA INVESTMENT CENTRE (TIC)
KADA: COMPUTER PROGRAMMER
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: HAKUNA MCHUJO
TAREHE YA USAILI WA ANA KWA ANA: 26/07/2013, SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI.
MAHALI: OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA, MAKTABA KUU YA TAIFA, GHOROFA YA PILI, BARABARA YA BIBITITI MOHAMED.
MAJINA NA ANWANI ZAO:
1. HAMISI SAIDI - P. O BOX 65196 DAR ES SALAAM,
2. GUDILA PAUL MUSHI - P.O BOX 31694 DAR ES SALAAM,
3. ZUHURA D. OMARY - P.O BOX 24597 DAR ES SALAAM,
4. MUSTAFA MOHAMED JUMA - P.O. BOX 9070 DAR ES SALAAM,
5. ADAM BENJAMIN MAZOYA - P.O. BOX 105808 DAR ES SALAAM,
6. ANYOSISYE JOEL - P.O BOX 11342 ARUSHA,
7. GODBLESS KWAYU - P.O BOX 8467 DAR ES SALAAM.
Thursday, July 18, 2013
Scholarships for International Students in Singapore, 2013/14
Management Development Institute of Singapore (MDIS), Singapore offers merit based scholarships for international students. These scholarships are open to new students for pursuing a pre degree, degree or master’s degree programme at five renowned university partners from the United Kingdom, Australia and France. Each scholarship is tenable only for the academic years for which it is awarded and will cover the subsidised portion of the tuition fee. Applicants can apply till 31st August 2013 for Phase 1 and 31st March 2014 for Phase 2.
Study Subject(s): Scholarships are awarded to study any course offered by MDIS.
Course Level: The MDIS international students merit scholarship is open to new students seeking a Pre Degree, Degree or Master’s Degree.
Scholarship Provider: Management Development Institute of Singapore (MDIS)
Scholarship can be taken at: MDIS offers the programmes of five renowned university partners from the United Kingdom, Australia and France.
Eligibility: Applicants must:
-apply for admission to MDIS before scholarship applications can be reviewed
-have demonstrated record of academic achievement
-strong leadership qualities and excellent interpersonal and communication skills
-be eligible to apply for merit scholarship.
Scholarship Open for International Students: International students can apply for these scholarships.
Subscribe to:
Posts (Atom)