Tuesday, January 28, 2014

DR. REGINARLD MENGI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM KINANA

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dr.Reginarld Mengi (kushoto), Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

The Journal of Continuing Education and Extension (JCEE).

Matokeo ya usaili wa Mchujo-Kibaha Education Centre-28 Jan, 2014

Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 29 Januari, 2014 Kituo cha elimu Kibaha (KEC)- Kibaha.
Wasailiwa wanatakiwa kufika saa moja kamili asubui wakiwa na nakala halisi za vyeti (Original Certificates)
 EXAMINATION RESULTS FOR EDUCATION OFFICER II - CHEMISTRY KEC          

      EXAMINATION NO.                                SCORES    REMARKS

1    PSRS EDUC OFF II CHEM KEC - 021          64       SELECTED
2    PSRS EDUC OFF II CHEM KEC - 026          60       SELECTED
3    PSRS EDUC OFF II CHEM KEC - 029          59       SELECTED
4    PSRS EDUC OFF II CHEM KEC - 019          50.5    SELECTED
5    PSRS EDUC OFF II CHEM KEC - 018          45       NOT SELECTED
6    PSRS EDUC OFF II CHEM KEC - 024          39       NOT SELECTED

MJASIRIAMALI WA SABUNI ZA MAJI ATIMKA NA MILIONI 30 ZA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusiana napromosheni hiyo ilivyobadilisha maisha ya wateja wao na watanzania kwa ujumla,mara baada ya kumtangaza mshindi wa droo kubwa ya mwezi ya"promosheni ya Timka na Bodaboda" Bi.Jovita Mosha(44)mkazi wa Ubungo external jijini Dar es Salaam aliyeibuka na kitita cha shilingi Milioni 30.

JOB VACANCIES - TCRA.

RAIS AAMURU JESHI KUSIMAMIA UTOAJI HUDUMA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la Mto Mkundi mkoani Morogoro linalokarabatiwa baada ya kuharibiwa na mafuriko hivi karibuni.Rais Kikwete alitembelea eneo hilo na sehemu nyingine zilizokumbwa na mafuriko hayo kujionea uharibifu. Picha na Freddy Maro wa Ikulu.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na
Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameliamuru Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) kuanza mara moja kazi ya kusimamia utoaji huduma kwa watu
walioathiriwa na mafuriko katika Mkoa wa Morogoro, ikiwa ni pamoja na kusimamia
ujenzi wa nyumba za muda wa wahanga hao.

JOB VACANCIES - POSTAL BANK, DEADLINE 31st JAN,2014.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...