The Matsumae International Foundation is inviting applications for
international fellowships. Approx 13 fellowships are awarded for
pursuing research from April 2014 to March 2015. Applicants are free to
select host institutions (university research laboratories, national
research institutions or the corresponding facilities of private
industry) in which to carry out their research in Japan. Applications
are evaluated on the on the basis of academic value and the degree of
perfection of the research projects. August 31, 2013 is the application
deadline.
Study Subject(s): Fields of study such as natural science, engineering and medicine are given first priority.
Wednesday, June 19, 2013
2014 FULL-TIME MBA SCHOLARSHIPS IN UK.
Norwich Business School, University of East Anglia is offering
full-time MBA scholarships in UK. Three scholarships namely:early bird
Scholarships, Norwich Business School UK and EU Scholarship, Norwich
Business School International Scholarship are offered. Five scholarships
are offered under early bird category five under UK and EU
scholarships category and three under Norwich Business School
International scholarship . Application should be send by electronically.
Study Subject(s): These scholarships are awarded in MBA at University of East Anglia.
Course Level: These scholarships are for pursuing Masters-MBA degree level at University of East Anglia in UK.
Study Subject(s): These scholarships are awarded in MBA at University of East Anglia.
Course Level: These scholarships are for pursuing Masters-MBA degree level at University of East Anglia in UK.
TAMKO RASMI LA CHADEMA JUU YA TUKIO LA 15.06.2013.
Tamko la Mh. Mnyika Juu ya Propaganda za CCM wakati wa Maombolezo - Tukio la Bomu Arusha.
a. UZITO WA KAULI YA LUKUVI.
Mwenyekiti Mbowe alizungumza jana, na wakati anaeleza ushahidi uliopo, na ushuhuda uliopo juu ya tukio hili, ameeleza vilevile kushangazwa na kauli za Waziri Lukuvi. Kwa hiyo katika nukta hii, tuongeze tu baadhi ya mambo ya msingi, ikizingatiwa kuwa waziri Lukuvi ni Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge. Kauli yake, akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, inamaanisha ni Ofisi ya Waziri Mkuu imezungumza Bungeni.
b. LUKUVI AMESEMA UONGO HUKU AKIJUA UKWELI
Kauli ya Lukuvi inapaswa kubebwa kwa uzito mkubwa, na kwa kauli hiyo imedhihirika kwamba ni sera ya serikali kusema uongo, huku ikijua ukweli. Kauli yake imedhihirisha kwamba, jambo hili la kutaka kulidanganya Taifa, lina uratibu wa serikali kwa ujumla wake. Kama Waziri wa Uratibu katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu ndiye Mkuu wa shughuli za serikali bungeni) anaweza kutoa uongo wa namna hiyo, maana yake kauli hizi zimeratibiwa, na hivyo serikali bungeni imepoteza uhalali wa kimaadili (moral authority) wa kuzungumza, kwa sababu imeratibu uongo wa moja kwa moja.
Tuesday, June 18, 2013
BREAKING NEWS: WATU 4 WAFA NA WENGINE KUJERUHIWA KTK AJALI YA BASI MULEBA.
Ajali ya Basi: Habari zilizotufikia hivi punde, ni kwamba watu 4 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa
kufuatia ajali ya Basi la "Minziro Kwetu" lililokuwa linatoka Bukoba
kwenda Geita kupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga
Wilayani Muleba.
Taarifa zaidi tutazidi kuwaletea kadiri tutakavyokuwa tunazipata.
Taarifa zaidi tutazidi kuwaletea kadiri tutakavyokuwa tunazipata.
ZIARA YA WAKALI WA KILI MUSIC AWARDS 2013 MKOANI DODOMA.
Ziara za wakali wa Kilimanjaro Music Awards kwa mwaka 2013, inaanza
rasmi kutikisa Mjini Dodoma Jumamosi hii, Tarehe 22 katika viwanja
vya Jamhuri ambapo wakazi woote wa Dom watapata nafasi pekee ya kuwaona
mastaa waliofanya vyema kwa mwaka huu katika jukwaa moja wakitoa burudani
isiyopimika.
Kwenye lineup ya Dodoma, wamo wakali kama vile Binti Comando a.k.a Anaconda ama Lady Jay Dee, Ommy Dimpoz, Ally Kiba, ROMA, Proffesa Jay, Kala Jeremiah, Ben Pol pamoja na Linex
Kili Music Awards kwa mwaka huu inakwenda kwa Slogan ya Kikwetu kwetu kwani burudani itakayokuwa ikitolewa ni kutoka kwa wasanii wa nyumbani,wakitupa burudani za nyumbani na katika viwanja vya nyumbani.
Mchongo utaanza saa 10 jioni kwa kiingilio cha shilingi elfu mbili na mia tano tu (2500/=), na kuifanya iwe poa zaidi, utatuzwa bia moja ya kilimanjaro mlangoni.
Wakazi wote wa Kanda za kati Dodoma mkae mkao wa kula,sebene la nguvu linawajia.

Scholarships in UK 2013/2014 .
Nottingham Trent University offers Postgraduate scholarship for Home,
EU and International students in UK. Scholarship is provided for
full-time Masters studies in the School of Architecture, Design and the
Built Environment. This scholarship is not available for students
applying to our March Architecture course. The scholarship will cover
£1,000 fee reduction. The scheme is open to self-funded students
only. Application should be submitted till 26th July 2013.
Subscribe to:
Posts (Atom)