Tuesday, April 14, 2015

Call for admission into bachelors degree, diploma and certificates for 20152016 - NIT

Al Shabaab waua watu 9 katika majengo ya wizara ya elimu mjini Mogadishu,Somalia.

Mwandishi wa BBC Ibrahim Aden,amesema kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo hilo

kabla ya wavamizi kadhaa kuingia ndani ya jengo wakiwa wamejihami kwa bunduki za rashasha.

INVITATION OF APPLICATION UNDERGRADUATE 2015/2016 - SUZA.

EDUCATION SELECTION DIPLOMA AND CERTIFICATE (APRIL INTAKE), 2015.

SELECTION OF HEALTH PROGRAMS DIPLOMA AND CERTIFICATES (APRIL INTAKE) - 2015.

JOB VACANCY - TANZANIA POSTAL BANK.

Thursday, April 9, 2015

TANZANIA YASHUKA NAFASI 7 KATIKA VIWANGO VYA SOKA VYA FIFA.

Tanzania yashuka nafasi 7 na kuwa ya 107 katika viwango vya soka vya FIFA vilivyotangazwa leo. Uganda yaongoza Afrika Mashariki yawa ya 72, Rwanda 74, Kenya 117 wakati Burundi ni ya 123.
Bofya hapa (Click here)

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...