Monday, August 12, 2013

Scholarships for US and International Students at Boston University in USA.

Boston University offers Trustee Scholarships for US and International Students for pursuing undergraduate degree level in the USA. Every year, Boston University welcomes about 20 outstanding students to the Trustee Scholars Program. Many of our current Scholars had perfect 4.0 grade point average in high school, and typically ranked in the top 5–10% of their class. Students are nominated by secondary school principals and headmasters. A Trustee Scholarship covers full undergraduate tuition plus the University orientation and mandatory undergraduate student fees and is renewable for four years if certain criteria are met. The application deadline is December 1, 2013.
Study Subject(s): Scholarships are provided to learn any of the courses offered by the Boston University in USA.
Course Level: Scholarships are available for pursuing undergraduate degree level at Boston University in USA.
Scholarship Provider: Boston University, USA
Scholarship can be taken at: USA
Eligibility: -Every year, Boston University welcomes about 20 outstanding students to the Trustee Scholars Program. Many of our current Scholars had perfect 4.0 grade point average in high school, and typically ranked in the top 5–10% of their class.
-In addition to exceptional academic credentials, Trustee Scholars are intellectually and creatively adventurous and demonstrate viewpoints, experiences or achievements beyond the usual. They are, in other words, not just top students, but extraordinary people.  At BU, scholars also become part of a unique campus community that offers many intellectual, cultural, and social opportunities.

Dk. Slaa kuunguruma Tanga Alhamisi.

 

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, Alhamisi wiki hii anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga kuzindua mabaraza ya Katiba ya chama hicho pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara.
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje, ilieleza alisema Dk. Slaa atawasili mkoani hapa Agosti 15 na kufanya mikutano ya hadhara na siku inayofuata atakuwa na kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari, Bahweje alisema Dk. Slaa akitumia helikopta atafanya mikutano ya hadhara katika wilaya za Lushoto, Handeni, Korogwe, Muheza na Tanga Jiji.
“Katibu mkuu atawasili Lushoto na kufanya mkutano wa hadhara uwanja wa RRM saa mbili asubuhi, Handeni mjini saa 5.30 asubuhi, Korogwe Mazoezi saa 7.30 nchana, Muheza saa 9.30 uwanja wa CHADEMA Square na mkutano wa mwisho Tanga Jiji saa 11. 40 jioni,” alisema Bahweje.
Katibu huyo alitoa wito kwa wananchi kuhudhuria mikutano hiyo katika maeneo hayo na kumsikiliza ili kupata misingi halisi ya mikutano hiyo.
Sambamba na hayo, alieleza chama hicho ngazi ya mkoa kinaendelea na mikutano ya hadhara na ya ndani kwa kuanzia wilaya ya Korogwe kwa lengo la kuelezea mkakati wa CHADEMA.
Alisema mikutano hiyo inafanyika katika vijiji vya Masange, Mngwasa na Lutindi vya kata ya Lutindi na kuendelea katika kata ya Bungu, jimbo la Korogwe vijijini.
Source:CHADEMA Social Media.

Wednesday, August 7, 2013

SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA WAKULIMA NANE NANE YAFANA KANDA YA MASHARIKI, DR.KIGODA MGENI RASMI.

Mgeni rasmi Waziri wa Viwanda na Biashara Dr.Abdallah Kigoda akiwa katika Ofisi za Taso kanda ya mashariki.

Dr.Kigoda akiwa anasaini kitabu katika banda la Agricultural Media

Mkurugenzi wa agricultural Media akiwa anatoa maelezo kwa Mgeni rasmi.


ADVERTISEMENT OF TENDERS NECTA AUGUST 2013

LIST OF SELECTED CANDIDATES PHASE TWO - MZUMBE UNIVERSITY.

LIST OF MASTERS SELECTED CANDIDATES 2013/2014 MZUMBE UNIVERSITY - PHASE ONE.

NAFASI ZA KAZI UTUMISHI ZILIZOTANGAZWA 06.08.2013

TASWIRA YA MAONESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHSRIKI KATIKA KIWANJA CHA MWL.J.K.NYERERE MJINI MOROGORO.

Banda la Bodi ya Pamba




Nikiwa natembelea baadhi ya mashamba yaliyo ndani ya Uwanja wa nane nane.




Mambo yalivyokuwa siku ya tarehe 6.8 katika banda la Vodacom.

MC wa vodacom akitoa zawadi kwa washindi wa kunengua katika uwanja wa nane nane.



Banda la SUA katika uwanja wa nane nane.

Tuesday, August 6, 2013

Scholarship for Undergraduate Students in UK, 2013/2014.

Keele University offers international scholarship for undergraduate students in the UK. KIS Scholarships cannot be awarded to students who have already started their degree at Keele. Students studying the 5-year undergraduate degree in Medicine and the 4-year undergraduate degree in Pharmacy are not eligible for this award. The Keele International Student Scholarship for undergraduate students is worth GBP2000 towards the cost of the annual tuition fees for the duration of the course. Application should be submitted till 28th August 2013.
Study Subject: The scholarship is provided to learn any of the courses offered by the Keele University in UK.
Course Level: The scholarship is for pursuing undergraduate degree level at Keele University in UK.
Scholarship Provider: Keele University
Scholarship can be taken at: UK
Eligibility: To apply for the KIS Scholarship applicant must have applied to Keele and been offered a place to study here. Applications must have been received and processed before the start of the academic year for which the application is made. KIS Scholarships cannot be awarded to students who have already started their degree at Keele. Students studying the 5-year undergraduate degree in Medicine and the 4-year undergraduate degree in Pharmacy are not eligible for this award.

KONGAMANO LA VIJANA NA RASILIMALI ZA TAIFA LAFANYIKA DAR ES SALAAM.

Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika jana RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo na watatu ni mtoa mada, Wakili Evod Mmanda ambaye pia ni Mjumbe wa NEC wa CCM. Ngubiagai pia ni Katibu wa CCM mkoa wa vyuo vya elimu ya Juu.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhomgo akitoa mada kuhusu rasilimali ya madini, wakati kwenye kongamano la vijana na rasilimali za taifa, jana Ubungo jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu wa CCM, Vyuo vya elimu ya Juu, Christopher Ngubiagai ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa kongamano hilo na watatu ni mwanasheria Evod  Mmanda aliyetoa mada kuhusu rasimu ya Katiba.

Wakili Mmanda akitoa mada kwenye kongamano hilo

Ngubiagai akizungumza kwenye kongamano hilo

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...