KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI
SHIRIKA
LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO), LINAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO
MKOANI PWANI KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI
RUVU CHINI UTAZIMWA KWA WASTANI WA SAA
12 SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 26/10/2013, KUANZIA SAA 01:00 ASUBUHI HADI 01:00 USIKU.
MTAMBO
WA RUVU CHINI UTAZIMWA ILI KURUHUSU MKANDARASI KUFANYA KAZI YA
KUUNGANISHA BOMBA
LINALOTUMIKA LA MAJI GHAFI (RAW WATER) NA BOMBA JIPYA KARIBU NA MABIRIKA
(CLARIFIERS) NDANI YA MTAMBO.
KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO
YATAKOSA MAJI:
MJI WA BAGAMOYO,
VIJIJI VYA MAPINGA, KEREGE NA
MAPUNGA. BUNJU, BOKO, TEGETA, KUNDUCHI, SALASALA, JANGWANI, MBEZI BEACH
NA
KAWE.
MAENEO
MENGINE NI MLALAKUWA, MWENGE, MIKOCHENI,
MSASANI, SINZA, MANZESE, MABIBO, KIJITONYAMA, KINONDONI, OYSTERBAY,
MAGOMENI,
UPANGA, KARIAKOO, CITY CENTRE, ILALA, UBUNGO MAZIWA, KIGOGO, MBURAHATI,
HOSPITALI
YA RUFAA MUHIMBILI, BUGURUNI, CHANGOMBE NA KEKO.
WANANCHI
MNASHAURIWA KUHIFADHI MAJI NA KUYATUMIA KWA MATUMIZI YA LAZIMA.
DAWASCO
INAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU
UTAKAOJITOKEZA
IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO
DAWASCO-MAKAO MAKUU
“DAWASCO
TUTAKUFIKIA”