Monday, October 7, 2013
Tuesday, October 1, 2013
2014 HEC-EGIDE/ Eiffel MBA Scholarships for Developing Countries.
French Ministry of Foreign Affairs announces HEC-EGIDE/ Eiffel MBA scholarships. The scholarship is awarded to the developing countries’ students to pursue Masters in Business Administration. The Eiffel Scholarship provides participants with a monthly allowance of €1,181 and covers additional expenses including travel, health insurance and cultural activities. Applicant applying for the scholarship should be aged 30 years old or less in the selection year.
Study Subject(s): The scholarship is offered to pursue Business administration.
Course Level: This scholarship is available for pursuing Masters degree level at French schools of higher education.
Wabunge, Kenya - wakimbizi waondolewe !
Kamati ya bunge inayohusika na ulinzi na uhusiano na
mataifa ya kigeni imependekeza kufungwa kwa kambi za wakimbizi nchini
Kenya, ikisema zinatishia usalama wa nchi.
Mwenyekiti wa kamati hiyo Ndungu Githinji
amesema kuwa wana habari kuwa kambi zilizoko kwenye mipaka ya Kenya
hutumika kuwapa mafunzo wapiganaji wa kiislamu.Kenya inahifadhi wakimbizi wa kisomali zaidi ya nusu milioni katika kambi za Dadaab zilizoko kwenye mpaka na Somalia.
Monday, September 30, 2013
NIA YA ZITTO KABWE JUU YA KUFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA YA MAGAZETI.
Nimetoa taarifa rasmi kwa katibu wa Bunge kwa mujibu
wa kanuni za Bunge kwamba katika mkutano ujao wa Bunge nitawasilisha
muswada binafsi wa sheria kufanya marekebisho ya sheria ya magazeti kwa
lengo la kuifuta kabisa sheria hiyo.
Madhumuni ya muswada huo ni;
“kufuta sheria ya magazeti ya mwaka 1976 kwa sababu inakizana na
Katiba ya Nchi kuhusu haki za Raia kupata habari na kwamba iliorodheshwa
na tume ya Nyalali ni sheria kandamizi’
...
Muswada wenyewe nitauwalisilisha siku ya ijumaa ili uchapwe kwenye
gazeti la Serikali uweze kuingia kwenye shughuli za Bunge zitakazoanza
tarehe 15 Oktoba 2013 kwa ngazi ya kamati.
September 30, 2013
Source : Zitto social media.
YANGA - TAARIFA KUHUSU MRADI WA UWANJA.
LEO tungependa kupitia kwenu kutoa taarifa kuhusu maendeleo ya
mradi wetu wa Uwanja wa kisasa wa mpira katika Jiji la Jangwani kama
itakavyojulikana
Mara ya mwisho tuliongea ama
kuonana ilikuwa mwezi wa tatu wakati Ndugu zetu wa BCEG walipokabizi
Concept design ama Usanifu wa awali na kuanzia sasa tutakuwa tunatoa
taarifa za mara kwa mara kuhusu mradi huu. Wahenga walisema UKICHA
KUSEMA HUTATENDA JAMBO lakini pia KUKAA KIMYA SANA kunajenga hisia mbaya
na kutoa nafasi ya upotoshwaji wa habari.
Kwa kifupi napenda kuwakumbusha kuwa Makubalino ya
Awali (Memorandum of Understanding) yalisainiwa 23 Novemba 2012. Pamoja
na mengineyo YANGA inatakiwa:
• Kupata na kuwa na eneo la kutoshereza
malengo ya mradi
• Kupata ushauri mzuri, michoro mizuri na
mkandarasi mzuri wa mradi
• Kupata na kutenga fedha za kukamilisha
usanifu na ujenzi wa mradi
Kwa upande wa BCEG
wajibu wao ni kuwa na utaalamu na uzoefu wa kutosha. BCEG wameandaa na
kukabidhi michoro ya usanifu wa awali kukidhi matakwa ya YANGA. YANGA
tunatakiwa kutoa maoni yetu na na kuingia RASMI mkataba wa ujenzi.
Kutokana
na kukua kwa Jiji la Dar es Salaam, na katika hali ya kutaka klabu iwe
na vitega uchumi klabu imeonelea ni vyema kama ingekuwa na uwanja wa
mpira wa karne ya sasa na baadaye ambao pamoja na mambo mengine utakuwa
na mioundombinu ifuatayo:-
EMPLOYMENT VACANCIES - PCCB.
EMPLOYMENT VACANCIES
1.0 INVESTIGATION OFFICERS (214 POSTS)
The
PCCB is an Independent Public Institution and law enforcement Agency
established by Section 5 of the Prevention and Combating of Corruption
Act No. 11 of 2007. The Bureau is mandated to carry out three major
functions: Prevention, Community Education and law enforcement in
Tanzania mainland.
Suitably
qualified Tanzanians are invited to join our family in the following
positions:
1.0 INVESTIGATION OFFICERS (214 POSTS)
1.1 DIRECT
ENTRANTS (FROM COLLEGES/UNIVERSITIES)
- Applicants should posses three years Advanced Diploma or Undergraduate degree from recognized higher learning Institutions in any of the following fields: Quantity survey, Accountancy, Human Resources Management, Law, Procurement, Journalism, Information Technology, Highways Engineering, Building Constructions, Electrical Engineering, Land Management and Valuation, and Forensic Knowledge.
Subscribe to:
Posts (Atom)