Monday, July 29, 2013

TAARIFA YA TIMU YA YANGA KUHUSU AZAM TV KUONESHA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (katikati) akiongea na waanidishi wa habari, Makamu mwenyekiti Clement Sanga (kushoto) na mjumbe wa kamati ya utendaji Mark Anthony (kulia)
Uongozi wa klabu ya Yanga leo umefanya mkutano na waandishi wa habari juu ya urushwaji wa michezo yake ya Ligi Kuu katika kituo cha luninga cha Azam ambacho kimeingia makubaliano na kamati ya Ligi Kuu  kuonyeshwa michezo yote ya ligi kwa kipindi cha miaka miatatu (3).
 
Akiongea na waandishi wa habari mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Manji amesema uamuzi wa kamati ya ligi kuingia mkataba na kituo cha Azam Tv bila ya kuwashirikisha wahusika wenyewe ambao ni vilabu vishiriki haukuwa sawa.
 
Sisi kama klabu ya Yanga tulikaa kikao cha kamati ya utendaji na kuona taratibu za kupewa haki ya matangazo kwa kampuni ya Azam haikua sawa, sisi viongozi wa kalbu ya Yanga hatukushirikishwa katika mchakato huo hivyo tukaona ni vema tuje kwa vyombo vya habari tuulezee umma juu ya maazimio ya kamati ya utendaji.
 
Ifuatayo ni taarifa kamili kwa vyombo vya habari: 
 
YAH: URUSHWAJI KATIKA TELEVISHENI MICHEZO YA YANGA.

Hivi karibuni, Tanzania Football Federation (TFF)  iliunda Tanzania Premier League chini ya Bodi yampitoBodi ya TPL ambayo ni msimamizi mpaka hapo Bodi itakayokuwa imechaguliwa kidemokrasia. Bodi hii imeamua peke yake kuingia katika mkataba wa miaka 3 (mitatu) na kampuni inayoitwa Azam Television (ambayo ina  mapromota wale wale wanaomiliki Azam Football Club). Makubaliano ambayo Bodi ya TPL inatarajia kuingia na Azam Television, Kamati ya Utendaji ya YANGA inalipinga kwa nguvu zote katika misingi ifuatayo:

1. BODI YA TPL

15 Doctoral Fellowships for Foreign Students at University of Padua in Italy, 2013/14.

University of Padua is inviting applications for 15 doctoral fellowships for the academic year 2013/2014. The duration of the doctoral courses is three years, commencing on 1st January 2014 and ending on 31st December 2016. Fellowship of 13.638,47 Euro per year (gross value) will be awarded to candidates by Fondazione Cassa di Risparmio di Padova e Rovigo. The successful candidates will be offered full board and lodging at the ESU–Regional Agency for the Right to Education. The application deadline is 19th September 2013.
Study Subject(s): Fellowships are offered for studying Animal and Food Science, Arterial Hypertension and Vascular Biology, Astronomy, bio medicine, Bio sciences and Biotechnology, Civil and environmental engineering sciences, Crop Science, Departmental medicine and health planning sciences, Earth Science, economics and management, fusion science and engineering, Industrial engineering, information engineering, History, criticism and preservation of cultural heritage, International law and private and labour law, Land, environment, resources and health, Linguistics, Philology and Literary science, Management Engineering and Real Estate Appraisal, materials engineering and science, Mathematical science, Mechatronics and product innovation engineering, Medical, Clinical and Experimental Sciences, Molecular Sciences, oncology and surgical oncology, Pedagogical, Educational and Instructional Science, Pharmacological science, Philosophy, Physics, Psychological sciences, Social Sciences: Interactions, communications and cultural constructions, Space Sciences, Technologies and Measurements, Statistical Sciences and Veterinary sciences.
Course Level: Fellowships are provided to pursue doctoral studies at University of Padua, Italy
Scholarship Provider: Fondazione Cassa di Risparmio di Padova e Rovigo
Scholarship can be taken at: Italy
Eligibility: In order to be deemed eligible, applicants are required to meet the following criteria:
-have a foreign (non-Italian) citizenship;
-have a foreign (non-Italian) residence. Candidates must be in possession of this requirement within the deadline date.
-Be in possession of a foreign (non-Italian) academic qualification recognised as equivalent to the Diploma Degree / Degree / Master amounting to at least four years of full time university education and leading to a doctorate in the country where the studies were carried out. The date of award of the qualification must be no more than 8 years before the deadline of the call. For the sole purpose of this selection procedure, the qualification must be recognized equivalent to an Italian one by the Commission of the PhD course applied for (art. 4).

HABARI KWA UFUPI: MIZENGO PINDA KUSHITAKIWA, YANGA WAGOMEA AZAM TV.

MIZENGO PINDA KUSHITAKIWA:
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetangaza kumfungulia mashitaka Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.mizengo Petter kayanza Pinda kwa kuvunja katiba kutokana na kauli tata aliyoitoa bungeni.

YANGA YAGOMEA AZAM TV:
Klabu ya Yanga imegomea kuonyeshwa moja kwa moja mechi zake za ligi kuu msimu ujao katika kituo cha televisheni cha kampuni ya Azam.

KAMPENI ZA UCHAGUZI KUFUNGWA LEO ZIMBABWE.

Rais mstaafu wa Nigeria Olesegun Obasanjo yuko nchini Zimbabwe kama mwangalizi wa uchaguzi mkuu.
Kampeini za kisiasa nchini Zimbabwe zinamalizika hii leo kabla ya uchaguzi mkuu hapo Jumatano wiki hii.
Kiongozi wa chama cha Movement for Democratic Change ambaye pia ni Waziri MKuu ,Morgan Tsvangirai, hii leo atahutubia mkutano wa hadhara mjini Harare katika uwanja alikofanya mkutano wake hio jana Rais Robert Mugabe.
Viongozi hao wawili wamekua katika serikali ya muungano tangu mwaka wa 2008 na wametofautiana kuhusu muda uliowekwa kufanyika uchaguzi. Kumekua pia na madai ya wizi wa kura, na vitisho dhidi ya wafuasi wa MDC.
Shirika la kimataifa linalotathmini hali ya mizozo The International Crisis Group limeonya kwamba hakuna mazingira ya uchaguzi huru na haki Zimbabwe.

CHANZO:BBC.

JOB VACANCY TANZANIA POSTAL BANK.

TANGAZO KWA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI WIZARA YA AFYA AWAMU YA PILI.

MAJINA YA WAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)- AWAMU YA PILI

S/NEMPLOYEE NAMEGENDERADDRESSJOBEMPLOYMENT CENTER
1ANASTAZIA MASANJA
S L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA
2GWAARUDA G GIDASAIDA MS L P 56 MUHEZAWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA PANGANI
3 BATULI ISMAIL MITUROKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA RUFIJI
4 DAWIA YAHAYA MANDIAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO
5 ESTHER K KALONGOKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MPWAPWA
6 EVA JOHNKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KAHAMA
7 HAPYANA A KALALUKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA CHAMWINO
8 JOAN IRENE MAKAMBAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MVOMERO
9 LILIAN JOSEPH MBONDEKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA PANGANI
10 MWASI SAMWELKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MISSUNGWI
11 ROIDA M MSANGAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA NANYUMBU
12 ROSE E NOMBOKES.L.P 9083 DSMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA RUVUMA
13 VERDIANA B MPACHAKES L P 9083,DAR ES SALAAMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA MTWARA
14ADELINA VENDELINEKES L P 318 MAKAMBKOWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
15ADOLFINA SAMWELKES.L.P KIGOMAWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA IGUNGA
16AGNES MITAMBAKES.L.P 187, SUMBAWANGAWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI WA MANISPAA YA SUMBAWANGA
17AGNES PETRO KABULULUKES.L.P 72085 DSMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA
18AISHA HASSAN SALUMKEC/O HARUNA HASSAN SL.P 9083 DSMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO
19AISHA J ILANGAKES L P 820 BUKOB AWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)KATIBU TAWALA MKOA WA KAGERA
20AISHA R SANGAKES.L.P 90294 DSMWAHUDUMU WA AFYA (MEDICAL ATTENDANTS)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO

MAJINA YA MAAFISA AFYA MAZINGIRA II WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI AWAMU YA PILI.

S/NEMPLOYEE NAMEGENDERADDRESSJOBEMPLOYMENT CENTER
1LAURENCIA WANKYOFS.L.P DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
2TULAHIGWA K. RODENIFS.L.P 70 MBOZIMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IITACAIDS
3WINFRIDA TIBAKYAFS.L.P104467 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI WA MANISPAA YA MOSHI
4ABRAHAM ALI ALIMS.L.P 61801 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
5DEOGRATIAS MPAGAMAMS.L.P DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA KISARAWE
6GODFREY E. FWENIMS.L.P 35602 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI
7LUSUNGU G. PANGISAMS.L.P 3 LUDEWAMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA MUFINDI
8MARTIN M. MSOPELAMS.L.P 271 TANGAMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI WA JIJI TANGA
9NISALILE K. MWANGOKAMS.L.P IRAMBAMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
10NIYUKURI ELIAS PETERMS.L.P 61801 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA KOROGWE
11RENATUS ANATORYMS.L.P 65015 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIMKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA
12ROGATHO H. NZIKUMS.L.P 56 NJOMBEMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
13SAIMON S. NDALIOMS.L.P 65 KILOMBEROMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU TAWALA MKOA WA GEITA
14SELEMAN RAMADHAN MICHAELMS.L.P 104666 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA IIKATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII (TANGA SOEHS)
Total Records Found: 14

MAJINA YA MAAFISA AFYA WASAIDIZI WALIOPANGANGIWA VITUO VYA KAZI AWAMU YA PILI.

S/NEMPLOYEE NAMEGENDERADDRESSJOBEMPLOYMENT CENTER
1SEKUNDA LUDOVICK KATEGERE
S.L.P 387 KARAGWEMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KAHAMA
2AGNES MWAKIMONGAKES.L.P 1377 TANGAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA MUHEZA
3AMINA POLEKES.L.P 10762 MWANZAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI
4ANGELA MKUSAKES.L.P 47 KIBAIGWAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO
5ANGELICA MPAMBO WILLIANKES.L.P 20443 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA BAHI
6ASIA MOHAMED AKULEKES.L.P 151 MASASIMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MASASI
7BROWN MWATEBELAKES.L.P 487 IRINGAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA NJOMBE
8DATIVA MUGISHA LAURENTKES.L.P 1433 MWANZAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA MISUNGWI
9DEODATH MTEI JUMANNEKES.L.P 10850 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA KILOMBERO
10DORAH MAGOHAKES.L.P 40 RUJEWAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA RUNGWE
11DORISIA S. CHOTTAKES.L.P 200 NGUDUMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KAHAMA
12ELIZABETH MABAGALAKES.L.P 81 NANSIO UKEREWEMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMOROGORO, SENGEREMA, MUSOMA
13ELIZABETH MABAGALAKES.L.P 81 UKEREWEMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI WA MANISPAA YA MUSOMA
14ESTER MMANGINYA LUCASKES.L.P 11341 MWANZAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA SENGEREMA
15FATUMA MWALIMUKES.L.P 759 MVOMEROMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA HANDENI
16FREDDY M. KAYINGAKES.L.P 72687 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MBINGA
17GRACE MASHAMBAKES.L.P 11050 MWANZAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA NAMTUMBO
18HAWA MADUNDAKES.L.P 12359 DSMMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI WA HALAMSHAURI YA MJI WA KIBAHA
19JENISTA NATHANIELKES L P 10295, ARUSHAMAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI HALIMASHAURI YA SERENGETI
20JOYCE S. MTAMAKAKES.L.P MAAFISA AFYA MAZINGIRA WASAIDIZIMKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KILOSA

Saturday, July 27, 2013

MBUNGE JOSHUA NASARI MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUSHAMBULIA.

Habari zilizotufikia hivi punde nikwamba Polisi mkoani Arusha inamshikilia na kumhoji mbunge wa Arumeru Mashariki Mh.Joshua Nasari kwa tuhuma za kumshambulia Husein Warsama Julai 16 mwaka huu.

Kwa habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadiri tutakavyokuwa tunazipata.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...