Saturday, July 27, 2013
RAIS KIKWETE AKIZINDUA BARABARA YA KAGOMA - RUSAUNGA MKOANI KAGERA.
Rais Kikwete akizindua barabara ya Kagoma - Rusaunga. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete jana alizingua bara bara ya Kagoma -Rusaunga yenye urefu wa Km 200 ambayo imekamilika kwa 97% ambapo sehemu iliyobaki ni M 500 na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi ujao.
barabara iliyozinduliwa. |
Waziri wa ujenzi Dk Pombe Magufuli akipinga ngoma ya Nyamigogo. |
Rais Kikwete akipanda mti katika eneo la uzinduzi huliofanyika kwenye njia panda Wilayani Biharamulo. |
Mawaziri walioongozana na Rais pia wameshiriki kupanda mti |
Kamanda wa polisi Mkoani Kagera PHILIP KALANGI, akifuatilia ulinzi na usalama wakati wa uzinduzi na hotuba ya rais Wilayani Biharamulo. Picha na Mwanaharakati- Mac Ngaiza. |
MATUKIO KAMILI YA ZIARA YA RAIS KIWETE AKIWA WILAYANI MULEBA.
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera. |
Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba |
Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni |
Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka |
Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete wilayani Muleba |
Friday, July 26, 2013
HABARI KWA UFUPI KUTOKA MARA- KAHAWA KUNG'OLEWA,TABORA - USHIKINA WAUA,DAR- KESI YA DECI YAPIGWA KALENDA, NA MAKAMU WA RAIS ATOA ONYO.
USHIRIKINA WAUA TABORA:
Watu 3 wa ukoo mmoja wameuawa kwa kukatwa mapanga wakituhumiwa kuwa wachawi Wilayani Nzega, na msako waendelea na kuahidi vifo zaid.
KALENDA KESI YA DECI:
Hukumu dhidi ya viongozi wa Taasisi iliyoendesha mchezo haramu wa upatu ya DECI iliyopaswa kusomwa leo Kisutu imeahirishwa hadi Agosti 19.
KAHAWA YACHEFUA MARA:
Wakulima Tarime watishia kung'oa miche ya kahawa kupinga kulazimishwa kuuza kilo kwa Sh.700/= badala ya sh.1,500/= na wataka serikali iwatetee.
ONYO ARDHI:
Makamu wa Rais Mohamed Bilal aasa wakulima wasijichukulie sheria mkononi katika migogoro ya ardhi kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya MVIWATA leo.

2013/14 Massey University Masterate Scholarships for Thesis Research Component in New Zealand.
Massey University offers Masterate Scholarships and Masterate
Scholarships for Maori Students for the purpose of encouraging
postgraduate research. The scholarships are open to persons who are
enrolled or eligible to enroll full-time for the thesis research
component of their Masters degree. Every scholarship shall be tenable at
Massey University for a maximum period of 12 months devoted to
full-time research. The tenure of every Masterate Scholarship shall
commence either by 1 April (December round) or by 1 September (July
round). The application deadline is 1st October 2013.
Study Subject(s): Every applicant shall, during the tenure of the scholarship, be enrolled as a full-time student of Massey University and shall pursue at Massey University an approved programme of research approved by the relevant Massey University College Academic Director for the Master’s degree.
Course Level: Scholarships are available for pursuing postgraduate research degree level at Massey University.
Scholarship Provider: Massey University, New Zealand
Scholarship can be taken at: New Zealand and Overseas (Applicants intending to pursue part of the approved programme of research at a university or other approved institution overseas are required to inform the Scholarships Committee in writing of the intended overseas study period, with a statement of support for this plan by their supervisor).
Eligibility: -The scholarships are open to persons who are enrolled or eligible to enrol full-time for the thesis research component of their Masters degree at Massey University. The research component must be 90 – 120 credits (this may comprise two research papers studied in consecutive semesters that constitute a single project overall). A full-time candidate will be expected to work 40 – 50 hours per week on their Masterate qualification. Part-time applicants are not eligible.
-Consideration will normally only be given to students with a GPA of 7.5 or better (on a 9 point scale). This is above an average grade of A-.

Matokeo ya Usaili wa Mchujo Utumishi, Tarehe 26-July-2013.
Wasailiwa waliochagulia kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa
kufika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba Kuu ya Taifa siku
ya Jumamosi, tarehe 27-July 2013, SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI. wakiwa na
vyeti vyao (Original Certificates)
SN. EXAM NUMBER SCORES REMARKS
1 PSRS-TIC-CP-1003 80.00 SELECTED
2 PSRS-TIC-CP-1000 60.00 SELECTED
3 PSRS-TIC-CP-1002 52.50 SELECTED
4 PSRS-TIC-CP-1005 52.50 SELECTED
5 PSRS-TIC-CP-1001 50.00 SELECTED
6 PSRS-TIC-CP-1006 42.50 NOT SELECTED
7 PSRS-TIC-CP-1004 37.50 NOT SELECTED
SN. EXAM NUMBER SCORES REMARKS
1 PSRS-TIC-CP-1003 80.00 SELECTED
2 PSRS-TIC-CP-1000 60.00 SELECTED
3 PSRS-TIC-CP-1002 52.50 SELECTED
4 PSRS-TIC-CP-1005 52.50 SELECTED
5 PSRS-TIC-CP-1001 50.00 SELECTED
6 PSRS-TIC-CP-1006 42.50 NOT SELECTED
7 PSRS-TIC-CP-1004 37.50 NOT SELECTED
JESHI LA POLISI MISRI LATOA ONYO KALI KWA RAIA.
Maandamano Nchini Misri. |
Mkuu wa majeshi Jenerali Abdel Fattah al-Sisi ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kuandamana katika b arabara za mji kuunga mkono juhudi zao za kukabiliana na vitendo vya kigaidi.
Wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Morsi vile vile wanatarajiwa kushiriki katika maandamano hayo.
Bwana Morsi amekuwa akizuiliwa na jeshi tangu tarehe tatu mwezi huu.
Mwendesha mashtaka mkuu wa serikali amesema, Bwana Morsi anazuiliwa kuhusiana na uhusiano na wapiganaji wa Kiislamu wa Hamas nchini Palestina.
Shirika la habari la serikali, Mena, limesema Bwana Morsi anachunguzwa kufuatia madai kuwa anashirikiana na kundi hilo la Hamas kushambulia vituo kadhaa vya polisi na magereza wakati wa mageuzi ya mwaka wa 2011.
Lakini chama chake cha Muslim Brotherhood, kimesema kuwa kilipata msaada kutoka kwa raia wa nchi hiyo kushambulia magereza na wala sio raia wa kigeni kama inavyodaiwa.
Tangu wakati huo, Bwana Morsi amekuwa akizuiliwa na jeshi la nchi hiyo katika eneo lisilojulikana.
Shirika hilo la Mena limesema agizo lilitolewa kwa rais huyo kuzuiliwa kwa muda wa siku kumi na tano.
Mwandishi wa BBC mjini Cairo anasema kuwa tangazo hilo sasa limeondoa wasi wasi kuhusiana na hatma yake, hasa kufuatia shinikizo kutoka kwa jamii ya kimataifa ya kutaka rais huyo wa zamani kauchiliwa huru an kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo.
Msemaji wa jeshi Kanali Ahmed Mohammed Ali amesema jeshi la nchi hiyo litaruhusu maandamano ya amani lakini ameonya kuwa watakabiliana vikali na kundi lolote ambalo litajaribu kusababisha machafuko.
Chanzo:BBC
Subscribe to:
Posts (Atom)