Wednesday, July 24, 2013
ZITTO KABWE AMPONGEZA MACHUMU KUWA MHARIRI MTENDAJI WA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED.
Hongera ndugu Bakari Machumu, Mhariri Mtendaji wa
Mwananchi Communications.
Napenda kuchukua fursa hii nikiwa mmoja wa
wasomaji wa magazeti ya Mwananchi na Mwenyekiti wa Kamati ya PAC,
kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kuwa Mhariri Mtendaji.
Magazeti
yenu yameonyesha uhuru mkubwa kwa kuandika habari za ukweli,
zilizofanyiwa utafiti na kwa utaalamu wa hali ya juu sana. Natumai chini
ya uongozi wako utaendelea kuenzi heshima hiyo ya magazeti ya Mwananchi
Communications.
... Changamoto kubwa sana kwa nji yetu ni
Ufisadi (rushwa) na Umasikini wa wananchi wetu licha ya kuwa tunaishi
kwenye nchi tajiri sana kwa rasilimali na watu pia. Sababu moja kubwa ya
kuendelea kwa hali hii ni ukosefu wa UWAJIBIKAJI. Vyombo vya habari ni
silaha kubwa sana ya kuhakikisha utamaduni wa uwajibikaji unaimarishwa
nchini kwetu. Hii ni kazi magazeti ya Mwananchi imefanya kwa muda mrefu,
lakini haitoshi. Juhudi lazima ziongezwe kuhakikisha kuwa viongozi wa
kisiasa wanajua kuwa matendo na maneno yao kamwe hatapita bila kuhojiwa
(Accountability and Answerability for actions and inactions).
Nikiwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC, ambayo ina majukumu makubwa ya
kuimarisha uwajibikaji nchini, Napenda kukutia shime kuhakikisha kuwa
magazeti yenu yanashirikiana nasi kupambana na ufisadi na umasikini
nchini kwa kuimarisha uwajibikaji.
Nakutakia kazi njema wewe
binafsi na waandishi wote wa Mwananchi Communication.
Zitto
Kabwe
Mwenyekiti PAC
Bunge la Tanzania
Mwenyekiti PAC
Bunge la Tanzania
RAU Outstanding Achievers Scholarships for UK & Overseas Students in UK, 2013.
Royal Agricultural University offers outstanding achievers
scholarships for UK and International Students in UK. The scholarships
are available for pursuing undergraduate and postgraduate degree level.
New or currents students are eligible for these scholarships.
Scholarships will be awarded on academic/sporting merit by past, current
and potential achievements by the Scholarship Committee. Application
should be submitted till 31st July 2013.
Study Subject(s): Scholarships are provided for the courses offered by the Royal Agricultural University in UK.
Course Level: The scholarships are available for pursuing undergraduate and postgraduate degree level at Royal Agricultural University in UK
Scholarship Provider: Royal Agricultural University in UK
Scholarship can be taken at: UK
Eligibility: New or current, UK or OS, undergraduate or postgraduate Students having academic excellence, leadership, motivation to succeed.
Scholarship Open for International Students: Domestic or International students can apply for this scholarship.
Scholarship Description: These scholarships are awarded to students who can demonstrate achievements in one or more of the following: Attainment of academic excellence, Contribution to extra-curricular activities, Overcoming of hardship (handicap or deprivation), Leadership, motivation, determination to succeed. Decisions of the Scholarship Committee are final and no correspondence will be entered into with any candidate. In any event all candidates will be notified of the outcome of their application.

Mkuu wa jeshi Misri aitisha maandamano.
Mkuu wa jeshi la Misri Abdel Fattah al-Sisi. |
Mkuu wa Jeshi la Misri amewataka wananchi kujitokeza
kuandamana siku ya Ijumaa dhidi ya kile anachokiita ugaidi.
Abdel Fattah al-Sisi amesema anawataka watu
kuunga mkono jeshi na kulikabidhi jukumu la kukabiliana na ghasia pamoja
na ugaidi.Wafuasi wa Mohammed Morsi aliyeondolewa mamlakani na jeshi, wamekuwa wakiandamana dhidi ya jeshi ambalo lilimuondoa mamlakani tarehe 3 mwezi Julai.
Lakini Generali Sisi alisema wito wake sio wa ghasia bali anataka kuwepo maridhiano ya kitaifa.
Source:BBC
RAIS WA SUDANI KUSINI AVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI, MAREKANI YAIONYA RWANDA NA MABOMU YA TANZANIA KENYA.
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini |
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amelivunja baraza
lake la mawaziri pamoja na kumfuta kazi makamu wa rais Riak Machar
katika mabadiliko makubwa zaidi kuwahi kutekelezwa katika historia ya
miaka miwili ya taifa hilo.
Aliyekuwa waziri wa habari, Barnaba Marial
Benjamin, ameiambia BBC kuwa mawaziri wote kutoka kwa Makamu wa Rais
Riek Machar wameondolewa.Pia hakuna sababu iliyotolewa kuhusiana na hatua ya rais kuwafuta kazi maafisa hao , lakini wadadisi wanasema kuwa Bwana Kiir na makamu wake Machar wamekuwa na mgogoro wa mamlaka kwa miezi kadhaa sasa.
Sudan Kusini imekumbwa na matatizo chungu nzima hasa ya kiuchumi tangu kujitenga na Sudan mwaka 2011.
WATANO WAIBUKA NA MILIONI 10 KWENYE PROMOSHENI YA VODACOM YA CHEKA PLUS.
Kampuni ya Vodacom Tanzania imeendelea
kuboresha maisha ya Watanzania kwa kuwawezesha kujishindia kitita cha
Shilingi Milioni 10 kupitia promosheni ya 'Cheka Plus' washindi watano
ambapo kila mmoja amejishindia kiasi cha Shilingi Milioni 2 wamepatikana.
KAULI YA ZITTO KABWE ASUBUHI YA LEO.
Shilingi 1.9 trilioni zilitumika kuendesha magari ya
Serikali (mafuta, vipuri, services etc) kati ya mwaka 2009/20 -
2012/13. Mwaka 2012 Juni, thamani ya magari yote ya Serikali ilikuwa
tshs 5 trilioni.
Hili ni eneo ambalo tukiwa na dhamira ya kweli
tunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya Serikali. Ukiona
msururu wa Magari ya Serikali, mashangingi, hutadhani upo kwenye nchi
yenye watu masikini kiasi hiki.
chanzo: Zitto Social media.
Subscribe to:
Posts (Atom)