Monday, May 19, 2014

VODACOM WATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MBEYA.

Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(kulia)akipokea msaada wa vyandarua kupitia chama cha Msalaba Mwekundu”Redcross”kwa niaba ya wahanga wa mafuriko wa wilaya hiyo toka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania nyanda za juu kusini Bw.Macfyden Minja,anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Vodacom Foundation,Yessaya Mwakifulefule. Jumla ya shilingi Milioni 10 zimetumika kwa misaada mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko wilayani humo.

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES - SUMATRA, DEADLINE 30th May, 2014.

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES 2014 - BUGANDO UNIVERSITY.

MWALIMU NYERERE AFRICAN UNION FEMALE SCHOLARSHIP - 2014, DEADLINE 31st MAY, 2014.

KUITWA KAZINI - UTUMISHI.

Wednesday, May 14, 2014

JOB VACANCIES- SUZA.

Announcement for Postgraduate Scholarship for Zanzibaris.

Announcement for Postgraduate Scholarship offered by the Oman Academic Fellowship (OAF) Program for the Academic year 2014/2015
The Ministry of Education and Vocational Training, Zanzibar, in collaboration with the Ministry of Higher Education of Oman and Oman Academic Fellowship (OAF) Joint Committee is pleased to invite potential applicants of qualified Zanzibaris to apply for postgraduate scholarships under the Oman Academic Fellowship (OAF) Program for the academic year 2014/2015.
ELIGIBILITY REQUIREMENTS
1. All applicants must be Zanzibaris.
2. Must not exceed 35 years of age for Masters and 45 years of age for PhD applicants.
3. Must have a GPA of at least 2.5 out of 4.0 or equivalent from other educational systems. Preferences will be given to candidates with the highest GPAs.
4. Must have a score of at least 6.0 in (IELTS) or 550 in (paper based) TOEFL or equivalent in iBT TOEFL.
5. Must have specialized in a certain field of study with valid work experience. Noticeable accomplishments will be a plus.
6. All educational qualifications must be issued by accredited educational institutions and authenticated by credible educational bodies.


HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. MCH. PETER SIMON MSIGWA, (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015.

(Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, 2013)
1.0     UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika,  Frank Herbert aliwahi kusema
 “Utawala bora, kamwe hautegemei Sheria bali sifa binafsi za wale wanaotawala. Vyombo vya Serikali mara zote vipo chini ya wale wanaowaongoza. Kwa hiyo sifa muhimu ya Serikali ni namna ya kuteua/kuchagua viongozi”
Serikali ya awamu ya nne, imeshindwa kuwajenga viongozi wake katika misingi bora na ndio maana pamoja na matatizo ya kimfumo, wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kubadilisha viongozi na matokeo ya ufanisi wake yamekua ni kioja na dhihaka katika utendaji.
2.0  UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO 16 YA BUNGE
Mheshimiwa Spika, kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilileta Bungeni taarifa yake tarehe 20 Disemba 2013 liyowasilishwa na Mwenyekiti wake, Mhe. James Lembeli kuhusu uchunguzi wa matatizo katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyokua na maazimio kumi na sita (16). Taarifa hiyo ndiyo iliyomuondoa aliyekua Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki na mawaziri wengine.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...