Monday, July 29, 2013

HABARI KWA UFUPI: MIZENGO PINDA KUSHITAKIWA, YANGA WAGOMEA AZAM TV.

MIZENGO PINDA KUSHITAKIWA:
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetangaza kumfungulia mashitaka Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.mizengo Petter kayanza Pinda kwa kuvunja katiba kutokana na kauli tata aliyoitoa bungeni.

YANGA YAGOMEA AZAM TV:
Klabu ya Yanga imegomea kuonyeshwa moja kwa moja mechi zake za ligi kuu msimu ujao katika kituo cha televisheni cha kampuni ya Azam.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...