UKUTA WA KITUO CHA MABASI UBUNGO WAANGUKIA MAGARI ZAIDI YA 24.
 |
Muonekano wa namna ukuta ulivyoangukia magari |
Katika hali ya kushangaza,magari zaidi ya 24 yameangukiwa na ukuta wa stendi ya mabasi Ubungo wakati mkandarasi akijaribu kubomoa ukuta huo kwa matengenezo.
 |
Gari aina na suzuki likiwa nyang'anyang'a |
Chanzo cha habari hii kinasema kuwa inasemekana kuna na majeruhi waliotokana na ajari hiyo.
 |
Baadhi ya wakazi wa Dar wakiwa wanashangaa ajari ilivyotokea. |
 |
Gari ndogo ikiwa hoi bini taabani. |
Swali langu hapa ni "nani atakayewajibika na fidia?"
No comments:
Post a Comment