Job Opportunity Laboratory Technologist March 2019 by Rashid Bumarwa on Scribd
Monday, April 1, 2019
Thursday, October 5, 2017
Sunday, October 1, 2017
KITUO KIPYA CHA KIMAREKANI CHAZINDULIWA MAKTABA KUU YA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Muonekano kituo Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii |
Muonekano kituo Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii |
kikundi cha Ngoma kikisherehesha wakati wa uzinduzi wa kituo hicho mapema jana. |
Tuesday, August 22, 2017
ZAMBI APIGIA DEBE UWEZESHAJI WA KILIMO CHA UFUTA NA MIHOGO
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi (hayupo pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake mjini Lindi. |
Na Mwandishi wetu, Lindi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi ameiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kukopesha wakulima wa mazao ya ufuta na mihogo ili waweze kulima kilimo cha kisasa na cha kibiashara hasa kwa wakulima wadogo wadogo wa mkoani humo.
Bw. Zambi alitoa wito huo wakati wa mkutano wa Wadau wa Korosho na Ufuta Mkoa wa Lindi uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Bw. Zambi alisema kuwa mkoa wa Lindi ni mkoa uliojaaliwa katika kuzalisha mazao ya ufuta na mihogo lakini changamoto kubwa ni mtaji wa kulima kibiashara ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje ya nchi.
“Wakulima wa mkoa wa Lindi wapo tayari kushiriki katika kuleta mapinduzi ya Kilimo kutoka kilimo cha kujikimu kwenda cha kibiashara lakini kwa sasa suala la mtaji wa kilimo cha kibiashara ni changamoto kubwa,” alisema Bw. Zambi.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga alisema kuwa Benki ya kilimo ipo tayari kutoa mikopo kwa wakulima wadogo wadogo waliokuwa kwenye vikundi ili waweze kukopeshwa.
Saturday, March 18, 2017
SERIKALI MTANDAO;TANAPA INAVYOTUMIA TEHAMA KUTOA HUDUMA ZAKE KWA UMMA
Huu ni mfululizo wa vipindi vya Serikali Mtandao hapa utaona kwa namna gani TANAPA inavyotumia TEHAMA katika utoaji huduma kwa umma.
Subscribe to:
Posts (Atom)