Thursday, May 28, 2015

JOB VACANCIES ADVERTISEMENT- TBS.

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 25-05-2015

 Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika muda, tarehe, na mahali kama inavyo onesha kwenye tangazo la ratiba ya usaili.
Wasailiwa wanakumbushwa pia kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

KADA: LAND OFFICER II (AFISA ARDHI II)           
MWAJIRI: MDAs           
           
NA  EXAM NUMBER           SCORE   REMARKS
1    MDAS-PSRS-LAND-621    65    SELECTED
2    MDAS-PSRS-LAND-104    63    SELECTED
3    MDAS-PSRS-LAND-106    63    SELECTED
4    MDAS-PSRS-LAND-276    63    SELECTED
5    MDAS-PSRS-LAND-005    62    SELECTED
6    MDAS-PSRS-LAND-022    62    SELECTED
7    MDAS-PSRS-LAND-259    62    SELECTED
8    MDAS-PSRS-LAND-264    62    SELECTED
9    MDAS-PSRS-LAND-039    62    SELECTED
10    MDAS-PSRS-LAND-135    61    SELECTED
11    MDAS-PSRS-LAND-096    60    SELECTED
12    MDAS-PSRS-LAND-317    60    SELECTED
13    MDAS-PSRS-LAND-463    60    SELECTED

Wednesday, May 27, 2015

JOB VACANCIES ADVERT - IHI.

JOB VACANCIES ADVERTISEMENT - HURBERT KAIRUKI UNIVERSITY.


Ukweli juu ya Umri wa Sitti Mtemvu bado mzigo mzito kwake.

Mtangazaji wa kipindi cha NIRVANA akiwa na mrembo Sitti Mtemvu.

Miss Tanzania ambaye alilivua taji mwaka jana 2014, Sitti Abas Mtemvu amekiri wazi kuwa maisha yake hayakuwa na amani tena toka skendo yake ya kudanganya umri katika mashindano ya Miss Tanzania, ambapo yeye aliweza kuibuka mshindi na kuvishwa taji hilo, Jana kupitia katika kipindi cha Fashion cha NIRVANA cha EATV,

Certificate and Diploma students selected to join SAUT main campus mwanza for the 2015/2016 academic year.


SCHOLARSHIPS ADVERTISEMENT - CUHAS.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - TPDC.

Thursday, May 21, 2015

KINYEREZI I KUKAMILIKA MWAKA HUU.

Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima  (kulia)  akitoa maelezo kuhusu hali ya maendeleo ya mradi kwa wanajopo la ukaguzi kutoka Ofisi ya Raisi Tume ya Mipango, pichani ni  Bibi. Florence Mwanri (Katikati), Ndg, Robert  Masatu na  Ndg. Aloce Shayo, kwa mfuatano.

Na Oyuke Phostine Filemon 
Kituo cha kuchakata na kuzalisha umeme kwa njia ya gesi cha Kinyezi I kimekamilika kwa asilimia 88 na kinatarajiwa kuzalisha umeme kuanzia Septemba mwaka huu.

Hayo yalisemwa na Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima akiwatembeza katika kituo hicho wanajopo la ukaguzi wa miradi kutoka Ofisi ya Raisi Tume ya Mipango walipotembelea mradi huo.   

“Kazi zinazoendelea kwa sasa ni ufungaji wa mifumo katika mitambo; na njia za kusafirisha umeme msongo wa kV 220 kutoka Kinyerezi hadi Kimara na kV 132 Kinyerezi hadi eneo la viwanda la Gongolamboto, alisema Mhandisi Jilima.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...