Friday, July 11, 2014

SIMBA SPORTS CLUB YAMSAJILI KIPA HUSEIN SHARIFF KUTOKA MTIBWA SUGAR.

Simba Sports Club chini ya Rais mpya wamefanya usajili wa wachezaji watatu,wawili watacheza chini ya miaka 20 akiwemo mtoto wa kipa wa zamani wa Yanga SC Manyika Peter. 

Pia wamemsajili mlinda mlango wa Mtibwa Sugar aliyekuwa kipa bora msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili. 

Pia timu ya Azam FC imefanya usajili wa mshambuaji wa kimataifa kutoka Haiti. Nyota huyu aliichezea Haiti katika Kombe la Mabara ya Dunia la FIFA mwaka jana nchini Brazil.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...