 |
Waziri Mkuu Mh.
Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa dini wa mkoa wa Tabora baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya siku tatu
mkoani humo. |
Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda ameanza ziara ya siku tatu Mkoa Tabora.Katika ziara hiyo ameambatana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Khamisi Kagasheki pamoja na Mh.MERY NAGU.
No comments:
Post a Comment