Thursday, February 28, 2013

RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.

Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Afrika Mashariki Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr.Ali Mohamed Shein amekutana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Uganda na Burundi Ndg.Philippe Dongie hii leo Ikulu mjini Zanzibar kwa mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...