Thursday, October 16, 2014
Friday, October 10, 2014
Thursday, October 9, 2014
Wednesday, October 8, 2014
MAENEO YA KUFANYIA USAILI WA KADA ZA AUDITOR II & HUMAN REOURCES OFFICER II.
Wasailiwa wanoatarajia kufanya usaili wa Mchujo kwa kada za Auditor II na Human Resource Officer II utakaofanyika tarehe 11 Octoba 2014, wanataarifiwa kuwa muda na maeneo ya kufanyia usaili itakuwa kama ifuatavyo;
AUDITOR II – SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
HUMAN RESOURCES OFFICER II – SAA TATU NA NUSU ASUBUHI
Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti halisi (original certificates)
KITUO | MAHALI KWA KUFANYIA USAILI |
DAR ES SALAAM
|
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU DAR ES SALAAM-(DUCE)
|
DODOMA
|
CHUO CHA MIPANGO DODOMA-(IRDP)
|
MTWARA
|
OFISI YA MKUU WA MKOA-MTWARA
|
MBEYA
|
CHUO CHA UHASIBU (TIA)-MBEYA
|
IRINGA
|
UKUMBI WA HOSPITALI YA MKOA IRINGA
|
ARUSHA
|
CHUO CHA UHASIBU (IAA)-ARUSHA
|
MWANZA
|
SHULE YA SEKONDARI MWANZA-(MWANZA SECONDARY)
|
TABORA
|
TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE-TABORA-(TPSC-TABORA)
|
Tuesday, October 7, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)