Tuesday, May 6, 2014
Monday, May 5, 2014
Watu wenye ulemavu wa ngozi waitaka serikali kuwachulia hatua kali watuhumiwa wa mauaji na ukataji viungo.
Watu wenye ulemavu wa ngozi wameitaka serikali kuhakikisha inawachulia hatua kali za kisheria watuhumiwa wanaobainika kuhusika na mauaji na ukataji viungo vya albino ili kukomesha vitendo hivyo huku wakitaka huduma za afya zitolewe bure kwao ili kupunguza idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na saratani ya ngozi.
Hayo yamo katika risala yao waliyoisoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya tisa ya siku ya albino duniani yaliyofanyika jijini dar es salaam ambapo wamesema mbali na tatizo la mauaji na ukatwaji wa viungo vya albino bado wanakabiliwa na changamoto ya saratani ya ngozi ambapo asilimia 80 ya albino hufia majumbani kwa kukosa huduma ya matibabu
Katika hotuba ya rais Jakaya Kikwete iliyosomwa kwa niaba yake na waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk Seif Rashid amesema serikali itaendelea kusimamia sera kikamilifu ambapo kwa sasa inafanya utaratibu wa kusambaza mafuta maalum kwa ajili ya albino katika vituo vya afya nchi nzima ambayo yatatolewa bure na kuongeza kuwa waraka wa kutoa huduma za afya bure kwa walemavu wa ngozi umeshasambazwa ngazi husika huku akieleza kuwa changamoto kubwa ni tatizo la imani za kishirikina ambalo linahitaji mapambano ya watu wote
Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na viongozi na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wakiwemo mabalozi wanaoziwakisha nchi zao hapa nchini ambapo pia mmoja wa albino aliyenusurika kifo baada ya kukatwa mikono yake yote amepata fursa ya kutoa ushuhuda huku akiiomba serikali kuchukuwa hatua za makusudi juu ya watuhumiwa hao ambapo amedai kuwa aliyemfanyia kitendo hicho kwa sasa yuko huru wakati yeye anaishi kwenye kambi kama mkimbizi
Chanzo: ITV
MKE WA RAIS NIGERIA ATOA AMRI YA KUKAMATWA KWA KIONGOZI WA MAANDAMANO.
Naomi Mutah Nyadar alikuwa miongoni wanawake waliohudhuria mkutano ulioitishwa na ma mke wa rais Patience Jonathan na baadae mwanaharakati huyo alipelekwa kituo cha polisi habari zinasema.
Mke wa Rais wa Nigeria Patience JonathanInasemekana Mke wa Rais Jonathan anahisi mama za wasichana waliotekwa walimtuma mwanaharakati huyo ili aweze kuwawakilisha.
Mchambuzi wa masuala ya Nigeria anasema Mke wa Rais Jonathan ni Mwanasiasa mwenye nguvu nchini Nigeria.
Mama Mutah mwakilishi wa jamii ya Chibok eneo wasichana hao walipotekwa wakiwa shuleni zaidi wiki mbili zilizopita, wiki iliyopita aliandaa maandamano katika mji mkuu wa Abuja.
Waandamanaji wengi wakiwa ni Wanaigeria wanaona serikali haijafanya vya kutosha kuwatafuta wasichana hao waliotekwa wanaodhaniwa kuwa ni kundi la kiislam la Boko Haram.
Hadi sasa Boko haram hawajasema lolote kuhusu tuhuma hizo.
Wasichana wanne walio mbele ambao ni miongoni mwa waliotekwa na kufanikiwa kutoroka. |
Chanzo: BBC
Friday, May 2, 2014
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, MAREKEBISHO YA RATIBA KWA KADA ZA TAASISI YA TANZANIA INDUSTRIAL RESEARCH AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (TIRDO).
Kutokana na sababu zisizozuilika Wasailiwa wa nafasi za kazi kwa Kada za Taasisi ya TIRDO(SENIOR HUMAN RESOURCES OFFICER I na ASSISTANT RESARCH OFFICER I) watafanya Usaili wa mchujo tarehe 7/5/2014 na Usaili wa Mahojiano tarehe 8/5/2014.
Hivyo basi wasailiwa kwa Kada hizo mnaombwa kuzingatia mabadiliko hayo,masharti mengine ya Tangazo la awali yanabaki kama yalivyo.
Hivyo basi wasailiwa kwa Kada hizo mnaombwa kuzingatia mabadiliko hayo,masharti mengine ya Tangazo la awali yanabaki kama yalivyo.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES - TANESCO
Background – TANESCO http://www.tanesco.co.tz
The Tanzania ElectricSupply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanian people. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites internal and external applicants who are self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill top management positions in the Company.
Specific attributes for the Positions to be filled:
All Candidates must:
- Demonstrate impeccable performance track record;
- Demonstrate highest degree of integrity;
- Possess good communication and interpersonal skills;
- Be self-driven and capable of working with minimal supervision;
- Be capable of delivering excellent results while working under pressure with tight deadlines;
- Possess knowledge and competency in Information and Communication Technology (ICT) application.
- Possess wide knowledge and working experience in the relevant field.
Deputy Managing Director - Transmission (1 Post)
Reporting to: Managing Director
Division: Transmission
|
POSITION OBJECTIVE
Planning and implementing Company’s goals and objectives so as to achieve its vision and mission for the Transmission Business unit. This involves directing, planning and implementation of the power system expansion, including generation and transmission to meet the growing demand as well as operating and maintaining the existing power system.
KEY RESPONSIBILITIES
Thursday, May 1, 2014
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIFONYIKA TAREHE 30 APRILI 2014: COMPUTER SYSTEM ANALYST II.
Wasailiwa waliochaguliwa wanatakiwa kuhudhuria usaili wa ana kwa ana tarehe 02-05-2014 saa moja na nusu asubuhi katika ofisi za Tanzania Meat Board.
Tafadhali fika na nakala halisi za vyeti. (Original Certificates)
NA EXAMS NUMBER SCORE REMARKS
1 PSRS-COM SYSTEM TMB-0006 80.5 SELECTED
2 PSRS-COM SYSTEM TMB-0010 75 SELECTED
3 PSRS-COM SYSTEM TMB-0007 65 SELECTED
4 PSRS-COM SYSTEM TMB-0004 62.5 SELECTED
5 PSRS-COM SYSTEM TMB-0014 62.5 SELECTED
Tafadhali fika na nakala halisi za vyeti. (Original Certificates)
NA EXAMS NUMBER SCORE REMARKS
1 PSRS-COM SYSTEM TMB-0006 80.5 SELECTED
2 PSRS-COM SYSTEM TMB-0010 75 SELECTED
3 PSRS-COM SYSTEM TMB-0007 65 SELECTED
4 PSRS-COM SYSTEM TMB-0004 62.5 SELECTED
5 PSRS-COM SYSTEM TMB-0014 62.5 SELECTED
6 PSRS-COM SYSTEM TMB-0005 60 NOT SELECTED
7 PSRS-COM SYSTEM TMB-0009 60 NOT SELECTED
8 PSRS-COM SYSTEM TMB-0000 55 NOT SELECTED
9 PSRS-COM SYSTEM TMB-0011 52.5 NOT SELECTED
10 PSRS-COM SYSTEM TMB-0002 40 NOT SELECTED
11 PSRS-COM SYSTEM TMB-0013 35.5 NOT SELECTED
12 PSRS-COM SYSTEM TMB-0003 34.5 NOT SELECTED
7 PSRS-COM SYSTEM TMB-0009 60 NOT SELECTED
8 PSRS-COM SYSTEM TMB-0000 55 NOT SELECTED
9 PSRS-COM SYSTEM TMB-0011 52.5 NOT SELECTED
10 PSRS-COM SYSTEM TMB-0002 40 NOT SELECTED
11 PSRS-COM SYSTEM TMB-0013 35.5 NOT SELECTED
12 PSRS-COM SYSTEM TMB-0003 34.5 NOT SELECTED
Subscribe to:
Posts (Atom)