Tuesday, March 4, 2014

JOB ADVERTISEMENT - TANESCO.

Principal Estate Development Engineer
Open Position:                         Principal Estate Development Engineer
Reporting Office:                      Head Office.
Reports To:                              Manager Estate - Projects         
Start Date:                                Two weeks after the initial advertisement.
 

Background – TANESCO             http://www.tanesco.com

The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) has recently been reorganized. Under new management, TANESCO will now focus on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzania people. Next to its current passion as a leading provider of electricity and to be more efficient customers focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites a proactive, self-motivated, trustworthy, hardworking and committed individual to fill the under-mentioned position at Head office.
PRINCIPAL ESTATE DEVELOPMENT ENGINEER

POSITION OBJECTIVE

Waislam walaani kuchanwa kwa Koran Mauritania


Mamia ya waislam wamefanya maandamano katika mji mkuu wa wa Mauritania Nouakchott, baada ya kuenea kwa taarifa kuwa Koran imechanwa msikitini.
Imam ameripoti kuwa watu wanne waliokuwa wamefunika nyuso zao waliingia msikitini , wakachana nakala za Koran na kuzitupa chooni.

Mauritania ni taifa la kiislam , likiwa na idadi ndogo ya wakristo.Polisi walifyatua mabomu ya kutolea machozi kutawanya umati wa watu waliokuwa na jazba, na mtu mmoja aliuawa, duru za polisi zilieleza.
Imekuwa mshirika muhimu wa nchi za magharibi katika kampeni dhidi ya al-Qaeda na makundi mengine ya wanamgambo yanayoendesha harakati katika kanda hiyo .
Mwandishi wa habari Hamdi Mohamed El Hacen aliyeko mjini Nouakchott anasema waandamanaji walichoma vizuizi na maduka mengi na masoko yalifungwa jana siku nzima.
Mamia ya waandamanaji walikusanyika kati kati mwa mji mkuu na nje ya msikiti wakipaza sauti "Mungu ni mkuu" wakidai wahusika wakamatwe na kuhukumiwa kifo kwa madai ya kukufuru uislam, alisema.

Source: BBC

MASTERS AND PhD SCHOLARSHIPS SUA, MUHAS, GHANA AND UGANDA 2014.

Monday, March 3, 2014

MABADILIKO YA USAILI WA MKOA WA MOROGORO

Usaili wa ana kwa ana uliokuwa ufanyike Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro utafanyika Muslim University of Morogoro, Barabara kuu ya kwenda Dodoma tarehe 4 Machi 2014 saa moja asubuhi. Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi.
Source: Utumishi.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...