Monday, October 7, 2013

ADVERTISEMENT OF ENACT FAO PROJECT, SUA - MOROGORO.

APPLICATION FOR RESEARCH GRANT OCT,2013 - UDSM.

ICDE CONFERENCE IN CHINA.

WAZIRI WA MAJI PROF.JUMANNE MAGHEMBE ATEMBELEA MORUWASA NA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MOROGORO.

Prof.Jummanne Mghembe- Waziri wa Maji akiingia katika Ofisi za MORUWASA.

Prof.Maghembe akiwa katika viwanja vya MORUWASA

Prof.Maghembe akiwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro wakisikiliza taarifa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa MORUWASA.

Mkurugenzi Mtendaji wa MORUWASA Ndg.John K. Mtaita akimsomea taarifa Waziri wa Maji katika Ofisi za MORUWASA.

KUITWA KAZINI UTUMISHI - OKTOBA, 2013.

TANGAZO LA KAZI UTUMISHI - OKTOBA,2013.

Tuesday, October 1, 2013

MSIMAMO WA LIGI TANZANIA BARA NA UINGEREZA

Barclays Premier League Table

2014 HEC-EGIDE/ Eiffel MBA Scholarships for Developing Countries.


French Ministry of Foreign Affairs announces HEC-EGIDE/ Eiffel MBA scholarships. The scholarship is awarded to the developing countries’ students to pursue Masters in Business Administration. The Eiffel Scholarship provides participants with a monthly allowance of €1,181 and covers additional expenses including travel, health insurance and cultural activities. Applicant applying for the scholarship should be aged 30 years old or less in the selection year.
Study Subject(s): The scholarship is offered to pursue Business administration.
Course Level: This scholarship is available for pursuing Masters degree level at French schools of higher education.

VIBONZO VILIVYOIKUNA BLOGU HII KWA MWEZI SEPTEMBA.




Wabunge, Kenya - wakimbizi waondolewe !


Kamati ya bunge inayohusika na ulinzi na uhusiano na mataifa ya kigeni imependekeza kufungwa kwa kambi za wakimbizi nchini Kenya, ikisema zinatishia usalama wa nchi.
Mwenyekiti wa kamati hiyo Ndungu Githinji amesema kuwa wana habari kuwa kambi zilizoko kwenye mipaka ya Kenya hutumika kuwapa mafunzo wapiganaji wa kiislamu.
Kenya inahifadhi wakimbizi wa kisomali zaidi ya nusu milioni katika kambi za Dadaab zilizoko kwenye mpaka na Somalia.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...