RAIS KIKWETE ATUA SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 3
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa Tanzania India na
Singapre Injinia John Kijazi na mbele yao ni Naibu Mkurugenzi wa
Itifaki wa Singapore Bi. Christine Tay.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kasulu mjini Mhe Moses Machali
pamoja na wadau wengine wakati akiwasili Singapore.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore jana wakati alipokutana na
wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo mara tu baada ya kutua kutoka
Japan alikokuweko kwa ziara nyingine ya kikazi. Katika mkutano huu Rais
Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa Singapore Tanzania
kuwekeza katika sekta ya nyumba wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
No comments:
Post a Comment