![]() |
| OBAMA akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea mitambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini. |
| Rais Kikwete akimwangalia Obama wakati akipiga mpira danadana. |
![]() |
| Hapa akipiga danadana huku akishuhudiwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete. |


No comments:
Post a Comment